Mwanaume ambaye siwezi kuwa na mahusiano naye ni wa aina hii...

Mwanaume ambaye siwezi kuwa na mahusiano naye ni wa aina hii...

1,Driver,hasa wa mabasi ya mikoani au malori ya mizigo ya masafa marefu kutoka nchi moja kwenda nyingine,,hapa kama una roho ya chuma ukubali kuwa mke wa 100 maana kila kituo,kila mkoa,kila mji ana mwanamke

2,driva tax na boda boda,hawa kama una moyo wa chuma ukubali kushare mapenzi na watoto wadogo,vibinti vya chipsi na secondary

3,Askari polisi ,hawa wanapenda wanawake wa kila aina,halafu hawana huruma,kumuumiza mwanamke ni jambo la kawaida.,halafu mkizenguana vitisho na hata mpenzi wako mpya anatishiwa

4,mafundi garage, hawa ni waongo,ukisha kuwa nae atakutangaza kwa kila mtu anayefanya kazi nae,na anapenda mwanamke awe anamfuata fuata kazini kwake kuomba matumizi

5,Wahudumu wa afya,madaktari na manesi nk,hawa hawana muda wa kuwaza mahusiano yenu,kila muda utamkuta yuko busy na vitu vidogo vidogo na akipumzika hataki bugudha yoyote,anataka apumzike mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...weraa weraaaa...simo kwenye list 😛😛
 
Wengine tunaona,kuna mabasi fulani huwa napanda,sasa huwa naangalia madriva na makonda wanachokifanya,mfano anambeba mwanamke kutoka kitua fulani wanaenda nae wakifika kituo fulani wanamshusha na driva anashuka,driva mwingine anapanda tunaendelea na safari,Siku nyingine anashuka na mwanamke mwingine,nakuwa najiuliza wanaolewa na hawa hamna kitu hapa

Sent using Jamii Forums mobile app

Bado sample hiyo ni ndogo sana kutoa conclusion nzito namna hiyo
 
Bora wa daladala,wa mikoani au masafa marefu,madudu wanayoyafanya hapo njiani usiombe

Sent using Jamii Forums mobile app
Tabia ya mtu haiwezi kufutika
Tofautisha kazi na tabia

Dereva wa masafa marefu hawana tabia unazo zisema ila watu badhii wakiwa ndani ya hizo kazi huwa wanafanya hizo mambo

Ukumbuke huku mtaani kuna watu wanafanya kazi za kawaida ila wanabadilisha wanawake wanavyo taka

Unafikiri huyo nae atakuwa dereva wa masafa

Kumbuka kujitambua na kuthamini familia uliyo nayo ni jambo jema na huwezi kufanya ujinga ikiwa unajitambua kuwa were ni nan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe umefagia duuu , sector zote hizo umepita !!!!
 
Hakuna mwanaume ambaye hachepuki,labda awe mlokole kweli,hata walokole wenyewe wanaanguka Mara moja moja sembuse mumeo huyo hata kansani huwa haendi,mwanaume bila hofu ya Mungu atachepuka tu eidha awe mwalimu,Fundi,manager au daktari

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikatai ila wapo ambao kuchepuka haukuepukiki na idadi ya anaochepuka nao si haba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kila mtu na choice zake sikushangai. fanya vile nafsi yako inapenda
 
Na wewe umefagia duuu , sector zote hizo umepita !!!!
 
Back
Top Bottom