Mwanaume ambaye siwezi kuwa na mahusiano naye ni wa aina hii...

Mwanaume ambaye siwezi kuwa na mahusiano naye ni wa aina hii...

Kizur ni Kuwa Wanawake wanazaliwa kila siku af wanakuwa haraka nasis wanaume tunapenda vibinti vibichi
 
Mwanaume kama kimeo ni kimeo tu kazi haifanyi mtu kuwa na michepuko wangapi hawakazi hizo ila wana masuria mia kidogo
 
Tabia ya mtu haiwezi kufutika
Tofautisha kazi na tabia

Dereva wa masafa marefu hawana tabia unazo zisema ila watu badhii wakiwa ndani ya hizo kazi huwa wanafanya hizo mambo

Ukumbuke huku mtaani kuna watu wanafanya kazi za kawaida ila wanabadilisha wanawake wanavyo taka

Unafikiri huyo nae atakuwa dereva wa masafa

Kumbuka kujitambua na kuthamini familia uliyo nayo ni jambo jema na huwezi kufanya ujinga ikiwa unajitambua kuwa were ni nan

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora huyu ambaye anayafanyia hapo,roho yake inamsuta mbele ya jamii lakini hawa wa mikoani ni shida sio wote lakini kati ya madriva 10 wa masafa marefu 2 ndo labda hawafanyi hao mambo,,wengine wanasafiri na michepuko kwenye malori

Unacho kiwaza juu ya dereva ni tofauti kabisa swala la kuchepuka ni tabia ya mtu wala halina uhusiano na kazi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe madaktari, manager, walimu, hawachepuki nilikuwa sijui, ila kwenye fundi sijui ni fundi yupi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujanielewa uwe unasoma vizuri, nimesema kinachomzuia mwanaume kuchepuka ni hofu ya Mungu na sio kazi yake,mtoa maada amewatolea mfano madereva wa magari na bodaboda,Mimi nikasema hata mtu asipokuwa bodaboda au dereva wa malori atachepuka tu

Hujanielewa uwe unasoma vizuri, nimesema kinachomzuia mwanaume kuchepuka ni hofu ya Mungu na sio kazi yake,mtoa maada amewatolea mfano madereva wa magari na bodaboda,Mimi nikasema hata mtu asipokuwa bodaboda au dereva wa malori atachepuka kama hana hofu ya Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh. Mleta uzi umesahau walishasema Wahenga "mchagua jembe si Mkulima".

Mie naona kikubwa kuridhiana na kupendana kwa dhati basi popote Penzi linaweza mea.
Penzi la masharti sio penzi kamili. Waweza mpata mtu mwenye kazi unayoitaka lakini bado akawa navituko na vitimbi kuliko hao unaowakataa kwa vigezo vya kazi zao, nadhani mleta uzi akae atafakari zaidi kuhusu hilo
 
Back
Top Bottom