cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,448
- 7,972
- Thread starter
- #61
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Naamini anasoma comment za wadau, aliandika akiwa na zile story za kupeana na mashoga zake, ohhooo unajuwa madereva bwana wako hivi na hivi, ameishia kusadiki kama imani. Asikumbuke Mzee JK alituonya ya kuwa za kupewa na wewe changanya na zako.
Ama la sivyo labda ni mhanga wa mahusiano toka kundi mojawapo kati aliyoyataja ama yote sasa amekuja kutoa mrejesho indirectly
Sent using Jamii Forums mobile app