mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Mwanaume uliekamilika huwezi kufanya haya popote nikikuona najua una vinasaba vya 'ushoga'
1. Mwanaume kupaka super black
2. Mwanaume kuchora tattoo
3. Mwanaume kuvaa suruali kama ya dadaako
4. Mwanaume kutoboa sikio
5. Mwanaume kuchekacheka ovyo
6. Mwanaume kutuma meseji umeandika vifupisho visivyoeleweka
Yangu ni hayo Mengine ongezea......
Naona ipo iliyokugusaWaacha we. Inaonekana huwa unashtuka na kusisimka sana ukiona wanaume wenzio.
Siku ukikuta mkeo anazibuliwa mtaro utaelewa kuwa rijali hana mavazi wala sura! Utajifunza kuwa usimdharau mtu usiyemjua background yake.
Kuna jamaa nilikutana nae mwaka 2018, ukimuona unasema huyu anastahili kuitwa mwanaume kamili. Anafanya kazi ktik ofisi ya CAG. Akiwa katika harakati za kikazi, Young man 32yrs. Kimsingi ni mtu mwenye kukubalika na mwamke yeyote tu.
Tatizo: ANAFIRIMBWA
Swali kwako: Je kila mpaka super. Black, analamba mdomo, sio rijali?
KabisaMwanaume anaependa ofa za beer.
Mwanaume anaekula chips kuku/mayai mchana.
Mwanaume anaeomba lift
Mwanaume anaependa kampani ya wamama
Unapaka super black ili iweje?Hata super black dada angu?
Nyie ndo mnatembea na mapungaSasa wewe urijali wa mwanaume mwenzio unakuhusu nini
Uliyosema ni kweli tupu ila hilo nililokuuliza ndio limenitatizaNyie ndo mnatembea na mapunga
Mwanaume wakweli hafanyi upuuzi huo
Mwanaume kufatilia mambo yasikuhusu ..mambo ya wanaume wengine
Mwanaume anaependa ofa za beer.
Mwanaume anaekula chips kuku/mayai mchana.
Mwanaume anaeomba lift
Mwanaume anaependa kampani ya wamama
Wengine tuna matatizo ya nywele. Zinapauka kama tambara la deki!Unapaka super black ili iweje?
Wengine tuna matatizo ya nywele. Zinapauka kama tambara la deki!
Mwanaume unalilia kula chips mayai tena mayai ya kisasa,..?hatariUmerogwa ww, chips kuku unafanya nayo mchezo eenh?
Ndo kutokujiamini hukoHawataki mvi
LipiUliyosema ni kweli tupu ila hilo nililokuuliza ndio limenitatiza