mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Mwanaume uliekamilika huwezi kufanya haya popote nikikuona najua una vinasaba vya 'ushoga'
1. Mwanaume kupaka super black
2. Mwanaume kuchora tattoo
3. Mwanaume kuvaa suruali kama ya dadaako
4. Mwanaume kutoboa sikio
5. Mwanaume kuchekacheka ovyo
6. Mwanaume kutuma meseji umeandika vifupisho visivyoeleweka
Yangu ni hayo Mengine ongezea......
cc: Baba Diamond, Diamond Platinumz, Mr. Nice, Harmonize, Kikwete, Le Mutuz, Kassim Majaliwa