Siredi nyingine bhana huwezi kupita bila kugeuza geuza shingo km Feni."SIREDI"Nyingine bhana huwezi pita kimya kimya
😂😂 shosti kimekuuma?
😂😂 shosti kimekuuma?
Ni dalili mbaya sanaMwanaume anakuandikia Akhu,akhaa
mimi nikikuona ukumbina n mipiko yako ukwel nakutoa nduk..mnajua huwa hampendezi??mbakuwa km katuni vile...piko siku ya harus hapana jaman hainog kbsSiku ya harusi groom hupakwa black. Nao ni mashoga?
Kwani kila mtu akifanya yake akaachana na ya mwingine kuna tatzo hapo??
Tuache kuchunguzachunguza tuishi as if uko peke.
chakula kipi sasa maana vipo vingi ujueMwanaume kula chakula polepole zaidi ya 30min nao unatia shaka[emoji4]
chakula kipi sasa maana vipo vingi ujue
Hahahaa msos...namanisha chakula ...
ndo ule haraka bas[emoji16]
Kabisakuwa muoga, kutojiamini
kulilia na kulalamika kwenye mahusiano
kutochukua maamuzi mgumu
kuwa legelege, laini laini
kuwa na umama ndani yake
[emoji106]Mwanaume kula chipsi +zege