Mwanaume anaefanya haya namuona si rijali

Mwanaume anaefanya haya namuona si rijali

Kwani kila mtu akifanya yake akaachana na ya mwingine kuna tatzo hapo??

Tuache kuchunguzachunguza tuishi as if uko peke.
 
Siku ya harusi groom hupakwa black. Nao ni mashoga?
mimi nikikuona ukumbina n mipiko yako ukwel nakutoa nduk..mnajua huwa hampendezi??mbakuwa km katuni vile...piko siku ya harus hapana jaman hainog kbs
 
Kwani kila mtu akifanya yake akaachana na ya mwingine kuna tatzo hapo??

Tuache kuchunguzachunguza tuishi as if uko peke.

Hakuna anaekuchunguza ila mwanaume unaanzaje kuwa na hivyo vijitabia?
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] naunga mkono hoja
 
"Na kwenye wanaume kuna wanaume"

Asili ya neno "Rijali" ni neno la kiarabu,na kiswahili maana yake ni :

Ufafanuzi wa rijali katika Kiswahili

rijali

NOMINO wingi marijali

  • 1
    mwanamume mwenye nguvu za kiume.

Nakuja kuendelea hapa nilipoishia.
 
Kuandika sledi za midosho kama hizi ni ushoga
 
Back
Top Bottom