Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Huu ni utafiti wangu hasa nilifanya kupitia mnyama fisi na nilibase kwenye mambo ya homoni za testosterone na progesterone
Ambapo fisi jike ana testosterone nyingi kuliko dume na uume pia
Hii theory nataka niifanye kazi kwa hawa wanaume wanaotetea sana wanawake katika kila jambo bila kuangalia suala la maadili, malezi, Sheria na ubinadamui
NItadeal na suala la homoni tu