Mwanaume anaetetea wanawake kwenye kila jambo, ukiwa serious ukamtongoza anaweza kukubaliki

Mwanaume anaetetea wanawake kwenye kila jambo, ukiwa serious ukamtongoza anaweza kukubaliki

Ujue kwa fisi akiwa na mimba Placenta inabadilisha androstenedione kuwa testosterone.

kwahiyo hawa jamaa inawezekana testicles zao hazina uwezo wa kutengeneza testosterone kwasababu kwa mwanaume kama 95% inatengenezwa hapo.. na kama 5% ndo inatengenezwa na Adrenal glands..

au wana vitu ambavyo vinakula testosterone kwa kupitiliza...cha kwanza obesity...:AYOOO:
 
Huu ni utafiti wangu hasa nilifanya kupitia mnyama fisi na nilibase kwenye mambo ya homoni za testosterone na progesterone

Ambapo fisi jike ana testosterone nyingi kuliko dume na uume pia

Hii theory nataka niifanye kazi kwa hawa wanaume wanaotetea sana wanawake katika kila jambo bila kuangalia suala la maadili, malezi, Sheria na ubinadamui

NItadeal na suala la homoni tu
Kumaanisha wakiombwa kijambio wanatoa au siyo nami naungana na ww kabisa ngoja tuwaombe
 
Wale wenye tabia za jinsia moja mmefikiwa, kichaka ni kutetea mwanamke. Unachagua wa kumtetea mtongozaji yupo wa kukutongoza.
 
Ikiwa wa kiume kweli kuna shida wazee sku hz useng umekuwa fashion aaani

Wachungaji tuelezeni mwatupeleka wapi jmn,
Wamama nao bila aibu wazini na vijana wadogo
Tutapataje kupona ukimwi utatumaliza
Iyeeeyeeeyeeayeeeyeee💃🏽
 
Back
Top Bottom