Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Nani huyo unatuonea wivu au?Hasa wanaowatetea Single mothers 😎
Ndio anaenda test sasa hiyo hypothesis yakeumeleta majibu kabla ya utafiti,
Na ukichunguza zaidi unaweza ukakuta wanaingia period kabisaHuu ni utafiti wangu hasa nilifanya kupitia mnyama fisi na nilibase kwenye mambo ya homoni za testosterone na progesterone
Ambapo fisi jike ana testosterone nyingi kuliko dume na uume pia
Hii theory nataka niifanye kazi kwa hawa wanaume wanaotetea sana wanawake katika kila jambo bila kuangalia suala la maadili, malezi, Sheria na ubinadamui
NItadeal na suala la homoni tu
🤣🤣🤣🤣 Piga maweeeHasa wanaowatetea Single mothers 😎
Wamemfutia uzi wake mke wa mzungu na kei yake fake👋🏼
Usiniambie hata kisiasa nalo ni study tosha?Huu ni utafiti wangu hasa nilifanya kupitia mnyama fisi na nilibase kwenye mambo ya homoni za testosterone na progesterone