torvic
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 4,490
- 11,194
junia gari la njano amekomentiSi support hoja,
kazi yetu wanaume ni kutengeneza mifereji ya fedha tu.
kupika waachie kina mama unless we ni chief cooker.
junia gari la njano amekomentiSi support hoja,
kazi yetu wanaume ni kutengeneza mifereji ya fedha tu.
kupika waachie kina mama unless we ni chief cooker.
Kuna vita waulize Wapalestina watakupa jibu nani wanaowapikia kipindi vita ikiwa inaendelea, kupika hakuna jinsia ila kukuna nazi hio kidogo nitasema inawahusu wanawake ijapokua siku hizi mchina kaleta mashine yake ya kukunia kaua soko la vibao vya mbuziKupika ni ujuzi wa maisha (life skill), si suala la jinsia.
Nitakupigia network ipo down 😃😀😀 nipo MINJINGU - MANYARA.
Kuishi geto pekeyako kuna uhudiano gani na kuoikapika, nimeisha geto na sijawai kuwa hata na jiko msilete Excuse kama mumeamua kupikapika kama wakike endeleeni.Hawa hawajawai kuishi ghetto peke yao labda, ndio wale hata kulala peke yao wanaogopa Red black