KWELI Mwanaume anaweza kuonesha dalili za Ujauzito badala ya Mkewe

Taarifa hii imethibitika kuwa ya kweli baada ya kufanya tathmini ya kina
Inaweza kuwa kutapika kula vitu vichungu au vichachu au maumivu pia,

Mimi binafsi hii kitu ilinitokea kipindi wife ana mimba ya mtoto wetu wa kwanza

Kiuno kilianza kuniuma hasa wakati nikiwa nimelala kuamka inakuwa mtihani kwani yalikuwa maumivu kweli kweli,

Nilihangaika mpaka kutumia dawa ya U.T.I lakini sikupona nilitumia mpaka dawa za kienyeji lakini wapi,

Lakini baada ya mke wangu kujifungua haikupita hata wiki moja nikapona kabisaa sikuamini kuwa nimepona kwani nilikuwa nalalamika mpaka kwa wazazi kila wakati ndo wakanipatia dawa za asili na zili shindwa,

Je, kuna ukweli wowote kuhusu hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…