DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Mtoa mada nadhan ungekua Kuna baadhi ya vitu ungeondoa kwenye Uzi wako.
Kutoa talaka sio heshima Wala kitu rahisi kama unavofikiria, kutoa talaka Kuna gharama na madhara makubwa sana kwa wewe, unatempa talaka,familia yako, jamii na taifa kiujumla.
Kuliko hayo madogo unayosema ya kumhudumia mchepuko.
Sio kwamba kila ndoa unayoiona Ina furaha Sana,
Na sio kila suluhisho la kukosa furaha ktk Ndo Ni kutoa au KUOMBA talaka.
Mengine Ni kujiongeza kwa kuangalia mustakabali mzima wa maisha yako na familia yako uko mbeleni.
Trust me,
Mtoa mada hajaoa bado