Mwanaume anayesema wanawake ni wabaya ni yule aliyesaliti Akili yake. Yaani ambaye hakutumia Akili yake vizuri

Mwanaume anayesema wanawake ni wabaya ni yule aliyesaliti Akili yake. Yaani ambaye hakutumia Akili yake vizuri

Hoja zako zinajicontradict, mtu asiye n akili huwezi kuwa na pesa nyingi wala kuwa na cheo kikubwa
Wanawake wana opportunity zaidi kuliko Wanaume hili wala halihitaji kuwa na akili.

Unadhani hata 50 kwa 50 imeletwa na Wanawake? Ni wanaume wasiokuwa na akili hao wanatumia emotion ndio wamejidanganya kuna usawa kati ya mwanamke na mwanaume yani hata Mungu aliyetuumba wanamuona mjinga.
 
Nyie nyumbu ndio mmebaki kuwachu
chunguza wanawake tu , sisi tunachojua ni kupiga tu asee😋
Kuna main boyfriend toka jana usiku mpaka muda huu simu zake hazipokelewi! uzuri jioni ataombwa msamaha na atakubali 😁😁😁
 
Kwa nini hili watu wengi hawalijui?

Alafu kingine,
Mwanamke akianza kutaka kutoka utahisi na wengi huhisi sema wanapuuza
Wanawake wanaojithamini wamekubali kukosa ajira kwa sababu ya kutowa rushwa ya ngono.

Sasa mke kama huyo utamrubuni nini ili alale na mwanaume asiyekuwa mume wake?

Akifanya hivyo 100% tatizo na sababu litakuwa kwa mwanaume na anakuwa na sababu ya kufanya hivyo.
 
MWANAUME ANAYESEMA WANAWAKE NI WABAYA NI YULE ALIYESALITI AKILI YAKE. YAANI AMBAYE HAKUTUMIA AKILI YAKE VIZURI.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Silaha namba moja ya mwanaume ni Akili. Kwa sababu bila Akili mwanaume hawezi kuwa mtawala.

Hata uwe na pesa kiasi gani, cheo kikubwa vipi. Kama akili zako ni mgando, au ukiamua kutotumia Akili. Lazima wanawake wakusumbue.

Wanawake hawana Akili kuwazidi wanaume. Na hiyo haimaanishi hawawezi kulingana akili na sisi wanaume. Ila kutuzidi Akili hiyo ni big nooooo!

Ili mwanamke amzidi mwanaume Akili itampasa kwanza ahakikishe mwanaume husika asitumie Logic, asitumie Akili zake na amuingize mwanaume kwenye mihemko, emotions.

Kwenye emotional intelligence wanawake wanatuzidi wanaume kwa mbali sana. Ni kama Mamba kwenye maji.

Ili upigwe na mwanamke lazima ahakikishe upo emotionally.
Hawezi kukuletea hoja za kiakili.

Mfano, ili upigwe na kubambikiwa mtoto. Mwanamke hatakuja na hoja za kimantiki. Atakuja na hoja za huruma, hoja za kiimani, sijui Mungu atakubariki. Mara mtoto hana hatia, mara Lea tuu malipo utayapata n.k....

Raha ya emotional ni kwamba yeyote unaweza kumwambia chochote. Lakini kwenye Akili hilo haliwezekaniki. Wenye akili huwezi sema lolote kwa sababu wataichallenge hoja yako bila huruma.

Akili hainaga mambo ya huruma.

Emotional mwanamke anaweza waambia wanaume hata kumi kwamba mimba ni yao na wakahudumia Kirilenko. Lakini Katika Akili hilo kamwe haliwezekani kabisa.
Yaani wanaume wenye Akili hawawezi kulea mimba ambazo sio zao.

Kwa sababu Akili inahitaji uthibitisho.
Akili inauliza maswali na inahitaji majawabu ya kweli.
Akili hainaga muda wa kuaminishwa ila inataka uhakika na kujua.

Kuna vijana wangu wananipigiaga simu kunipa visa vyao.
Wananiambia wamelea mimba kumbe hiyo mimba halei yeye tuu. Mimba ina mababa wengi. Anakuja kugundua siku ya kuona mtoto, anapigwa danadana, wengine kuzungushwa.

Wengine wanalea watoto kwa kuambiwa tuu mtoto huyu ni wako. Emotional ni rahisi. Kwa sababu mtu anayeendeshwa na mihemko ni kama bendera fuata upepo.

Kwenye Akili unapoletewa mimba au mtoto. Cha kwanza utabisha na kuuliza kivipi? Atasema kwa sababu tulilala wote.
Akili itaendelea, kwani ukilala na mimi huwezi kuwa ulilala au ukalala na mtu mwingine?
Mwanamke hapa atajibu emotional kwamba unamuita malaya wakati tendo mlilolifanya linajitanabaisha kwamba yeye ni Malaya.

Akili itaendelea, hatuzungumzii umalaya hapa. Tunazungumzia hiyo mimba na huyo mtoto uliyesema ni wakwangu.
Mwanamke atakuambia kama hutaki basi. Nitalea mwenyewe.

Wanaume emotional watasema basi tutaangalia,
Wanaume wenye Akili, atasema sawa Vizuri, sio ajabu mama akilea mtoto wake. Mbona wanyama wanafanya hivyo.
Mimi nilichohitaji ni uthibitisho tuu. Hayo maelezo mengine hayahusiani. Na kwa vile huna uthibitisho au hutaki kuthibitisha wewe fanya utakachoona ni sawa.

Nimetoa mada hii kwa sababu, kuna mdau wangu hapa alinipa kisa cha namna hii.
Amelea mimba kwa upendo. Mimba yenyewe alikuwa na mashaka nayo. Lakini hakutumia Akili, alisaliti akili yake.

Akamlea mtoto mpaka America standard 5 ndio analetewa mizengwe. Anakuja kugundua kumbe yule mwanamke anakula hela huku na huku.
Alafu mbaya zaidi yeye ndiye mhanga. Sio Baba wa huyo mtoto. Ingawaje pale nyumbani kwa mwanamke anaendaga yeye.

Kumbe Mama mkwe na baadhi ya ndugu wa mwanamke wanajua fika kwamba sio mtoto wake. Lakini alivyokuwa anaonyesha kile alichokuwa anaita upendo ambao kimsingi hakunaga upendo wa hivyo. Upendo haumilikiwa na watu wapumbavu, watu wanaondeshwa na mihemko.

Vijana jiangalieni. Shauri yenu.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Dah Uzi wa Moto sana huu, lakini wanawake wengine ni wabishi sana hasa hawa wa Kilimanjaro, Arusha na Mbeya ni wajeuri Sana, ukimuuliza Tu athibitishe Mimba hapo hapo anakwambia basi Acha nitalea mwenyewe usiniulize maswali mengi wakati ni wewe ulinitomba, na kweli nakukatia waya na kufunga vioo moja Kwa moja anapeleka Mtoto kwa Bibi.
 
Dah Uzi wa Moto sana huu, lakini wanawake wengine ni wabishi sana hasa hawa wa Kilimanjaro, Arusha na Mbeya ni wajeuri Sana, ukimuuliza Tu athibitishe Mimba hapo hapo anakwambia basi Acha nitalea mwenyewe usiniulize maswali mengi wakati ni wewe ulinitomba, na kweli nakukatia waya na kufunga vioo moja Kwa moja anapeleka Mtoto kwa Bibi.
Mwanamke anaeujuwa mwili wake vyema palepale unapokojowa anajuwa hili ni bao la ushindi imoo.
 
Mtumie Akili.
Akili hata siku moja haitakuangusha.
Mkuu mimi NAKUPINGA....

Nilipokuwa little boy kuna house girl, tulikuwa tunaishi naye sasa alikuwa anatupa kipigo makini sana yule dada....

Hii imenipelekea hata kuwaogopa wanawake... Kwa hiyo na mimi situmii akili?
 
Dah Uzi wa Moto sana huu, lakini wanawake wengine ni wabishi sana hasa hawa wa Kilimanjaro, Arusha na Mbeya ni wajeuri Sana, ukimuuliza Tu athibitishe Mimba hapo hapo anakwambia basi Acha nitalea mwenyewe usiniulize maswali mengi wakati ni wewe ulinitomba, na kweli nakukatia waya na kufunga vioo moja Kwa moja anapeleka Mtoto kwa Bibi.

Mwanamke anakuwaga mbishi mbele ya mwanaume aliyemuona hamnazo.
Ukiwa mtulivu, huendeshwi na mihemko, hujibizani, utashangaa tuu wanakaa kwenye laini.

Mwanamke wanajua kucheza na saikolojia kwa kiwango kikubwa hasa wakiwa katika mapambano.
Hivyo kitu cha kwanza wanachofanya ni kukutoa kwenye mfumo wako wanakuleta kwenye mfumo wao.
Ukishakuwa emotional hiyo vita hutoboi
 
Back
Top Bottom