Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
- #41
Sasa Member wote humu wakiwa kama wewe nani ataleta content?
Msamehe. Hajui anazungumzia jambo gani.
Sasa Member wote humu wakiwa kama wewe nani ataleta content?
Kabisa, umetumia hisia 😂😀Mkuu mimi NAKUPINGA....
Nilipokuwa little boy kuna house girl, tulikuwa tunaishi naye sasa alikuwa anatupa kipigo makini sana yule dada....
Hii imenipelekea hata kuwaogopa wanawake... Kwa hiyo na mimi situmii akili?
Sasa Member wote humu wakiwa kama wewe nani ataleta content?
What can i do ni overcome hiyo situation mkuu...Kabisa, umetumia hisia
Ndio Maana nimesema hayo makundi hapo juu wao uko mquestion Tu habishani na wewe , na Mtoto hutomuona tena hata kama ni wakoMwanamke anakuwaga mbishi mbele ya mwanaume aliyemuona hamnazo.
Ukiwa mtulivu, huendeshwi na mihemko, hujibizani, utashangaa tuu wanakaa kwenye laini.
Mwanamke wanajua kucheza na saikolojia kwa kiwango kikubwa hasa wakiwa katika mapambano.
Hivyo kitu cha kwanza wanachofanya ni kukutoa kwenye mfumo wako wanakuleta kwenye mfumo wao.
Ukishakuwa emotional hiyo vita hutoboi
Mkuu ndio mana wanafanikiwa ni wachache wanaishi kwenye principlesNi kweli unayoyasema ila hivi huwa unauishi kila ushauri unaoutoa humu. Maana ni nadra mtu anaeishi kwa principles kali kali kuwa na furaha kwa sababu ni ngumu kupata kile unachokihitaji kwenye maisha kwa 100% lakini pia sio rahisi kuinjoi maisha fully kama umeshajijengea lables na concepts ambazo zinaweza zisiendane na uhalisia wako.
Na ni ngumu pia kuishi na binadamu mwingine maana maisha yako yanakuwa kama peformance iliyojaa limits nyingi kiasi cha kusahau hata unaoishi nao, kuna misimamo wanaiyeyusha ili muishi vizuri. Sasa ukiwa rigid ni kama kulazimisha watu waweke extra efforts ili kuendana na wewe. kitu ambacho Sio rahisi kwa umri huu ambao bills na majukumu yanapasua kichwa
Hisia zako zinakufanya uhisi kuwa kila mwanamke ni katili kama huyo,,, zinakudanganya. Wengine wapo tofauti pia badili mtazamo.What can i do ni overcome hiyo situation mkuu...
tunaishi kwa furaha ukileta ujinga tunakuacha na ujinga wako sie mbele hatumpagii mtu maisha ila ukiigia kwenye maisha yetu tunahusika na wwNi kweli unayoyasema ila hivi huwa unauishi kila ushauri unaoutoa humu. Maana ni nadra mtu anaeishi kwa principles kali kali kuwa na furaha kwa sababu ni ngumu kupata kile unachokihitaji kwenye maisha kwa 100% lakini pia sio rahisi kuinjoi maisha fully kama umeshajijengea lables na concepts ambazo zinaweza zisiendane na uhalisia wako.
Na ni ngumu pia kuishi na binadamu mwingine maana maisha yako yanakuwa kama peformance iliyojaa limits nyingi kiasi cha kusahau hata unaoishi nao, kuna misimamo wanaiyeyusha ili muishi vizuri. Sasa ukiwa rigid ni kama kulazimisha watu waweke extra efforts ili kuendana na wewe. kitu ambacho Sio rahisi kwa umri huu ambao bills na majukumu yanapasua kichwa
Huyu lazima akutoe roho mwaka huu 😅Huyu kwenye picha hapo chini ndo mwanamke pekee mwenye makalio makubwa mwenye akili.
View attachment 3679868
2kor 5:17Mkuu mimi NAKUPINGA....
Nilipokuwa little boy kuna house girl, tulikuwa tunaishi naye sasa alikuwa anatupa kipigo makini sana yule dada....
Hii imenipelekea hata kuwaogopa wanawake... Kwa hiyo na mimi situmii akili?
Kila.mtu atagongewa swala la muda tuSafi , kipenzi kwa mimi nikitaka tomba mke wa Mtibeli ni kugusa , haka kapare hakajui kitu tukaache tu, kaanataka uthibitisho kaweke ushindani live
Wewe unalipwa kucomment?Unalipwa kuleta content sio ?
Mkuu... mimi nimekuwa hata siwaamini kabisa japokuwa as a man napata hisia za mapenzi, .....ila naona kama najiletea matatizo2kor 5:17
Sasa hivi wew ni kiumbe kipya ya kale yamepita.
Futa kumbukumbu hizo wanawake ni watu mwenye upendo sana.
Ukianza kuagalia kwa mtazamo tofauti utajua ukweli naousema.
Nawatatombewa mnoKila.mtu atagongewa swala la muda tu
nakuelewa mkuu unachokiogopa kifanye ndo dawa ya kutoka kwenye mfungo huoMkuu... mimi nimekuwa hata siwaamini kabisa japokuwa as a man napata hisia za mapenzi, .....ila naona kama najiletea matatizo
Jinsi ya kuanza ndio kipengele kuchange mindset sio rahisnakuelewa mkuu unachokiogopa kifanye ndo dawa ya kutoka kwenye mfungo huo