Mwanaume asiye na uwezo wa kupata mtoto anahitajika

Safi.. but (Stable economy) itawavuta sana Wanaume wavivu na makapuku huko PM..

NB: Mtoa mada hataki HANITHI / MAKHNATHA..
Ahsante kwa tahadhari, najua wapo wengi, nitakuwa makini kuwachuja, nahitaji ninayemlenga ajue this post is not for child support au nimeshindwa kulea, tunahitaji upendo kama ambavyo yeye anahitaji upendo
 
Habari

Najitokeza kwenu wana jukwaa kutafuta mwanaume matured kuanzia miaka 38-45 na mwenye hofu ya Mungu ambaye anatamani kuwa na mtoto/watoto lakini kwa namna moja au nyingine imeshindikana kwa njia ya kawaida lakini anauwezo wa kusex.

Mimi ni single mother mwenye watoto 3 natamani kuunganisha familia na mtu wa aina hiyo na tukifanikiwa kufunga ndoa tutafuata taratibu za kisheria kabisa ili kukamilisha hilo na watatumia Sir Name yako na utawamiliki kihalali.

Wasifu wangu
Miaka 35, Mkristo, Mwajiliwa sekta binafsi nina stable economy na watoto nawamudu na kuwalea vzr tu but nimekosa furaha ya mume na wao wanakosa furaha ya baba kutokana na sababu zilizojuu ya uwezo wetu. Naamini katika complete family japo kwa sasa haikuwa riziki yangu na natamani kurekebisha kwa mtu mwenye uhitaji wa kupata furaha ya watoto. (Win- Win Situation).

Hili swala zito haliitaji utani naomba only serious people waje DM.

Ahsante
Na bado mpaka akiri zitawarudi!

Maandiko yanasema:

Isaya 4:1 "na siku hiyo wanawake saba watamshika mwanaume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako...."
 
Habari

Najitokeza kwenu wana jukwaa kutafuta mwanaume matured kuanzia miaka 38-45 na mwenye hofu ya Mungu ambaye anatamani kuwa na mtoto/watoto lakini kwa namna moja au nyingine imeshindikana kwa njia ya kawaida lakini anauwezo wa kusex.

Mimi ni single mother mwenye watoto 3 natamani kuunganisha familia na mtu wa aina hiyo na tukifanikiwa kufunga ndoa tutafuata taratibu za kisheria kabisa ili kukamilisha hilo na watatumia Sir Name yako na utawamiliki kihalali.

Wasifu wangu
Miaka 35, Mkristo, Mwajiliwa sekta binafsi nina stable economy na watoto nawamudu na kuwalea vzr tu but nimekosa furaha ya mume na wao wanakosa furaha ya baba kutokana na sababu zilizojuu ya uwezo wetu. Naamini katika complete family japo kwa sasa haikuwa riziki yangu na natamani kurekebisha kwa mtu mwenye uhitaji wa kupata furaha ya watoto. (Win- Win Situation).

Hili swala zito haliitaji utani naomba only serious people waje DM.

Ahsante
Kukosea ama kukosewa ni sababu dhaifu ya kufanya mtu mwenye hekima kutengeneza UPYA katika namna Bora hata kamasiyo iliyokusudiwa
This is life:maisha yanatuchonga kuwa zaidi ya yanavyotaka kutufanya,ni kama mawimbi ya bahari
Ni nadra sana kujikuta au kuweza kuwa kama ulivyopanga🙏
Any ways kwa upande wangu nahitaji mmoja tu kutengeneza BOND.
 
Any ways kwa upande wangu nahitaji mmoja tu kutengeneza BOND
 
Ahsante , hii inatoa moyo, we need kumove on na sio kuendelea kuishi kwenye majuto ya makosa yetu ya awali. Mungu anasamehe
 
Back
Top Bottom