Mwanaume asiye na uwezo wa kupata mtoto anahitajika

Mwanaume asiye na uwezo wa kupata mtoto anahitajika

Sahihi mkuu ila katika kutafsiri bibilia si watu wate wawezao sasa hao wasioweza inakuwaje
Haya Mambo Mungu amewaficha walio wengi wakiwamo wasomi na matajiri Ila kwa wale wenye Nia ya kujua ukiomba Roho wa Mungu na kusoma neno lake unapata kutambua na kuelewa. Alafu pia biblia inajitafsiri yenyewe. Kwenye huo mstari ukiangalia pembeni mwisho kabisa utaona mstari mwingine unaoelezea maana zaidi ya mstari huo.
 
Habari

Najitokeza kwenu wana jukwaa kutafuta mwanaume matured kuanzia miaka 38-45 na mwenye hofu ya Mungu ambaye anatamani kuwa na mtoto/watoto lakini kwa namna moja au nyingine imeshindikana kwa njia ya kawaida lakini anauwezo wa kusex.

Mimi ni single mother mwenye watoto 3 natamani kuunganisha familia na mtu wa aina hiyo na tukifanikiwa kufunga ndoa tutafuata taratibu za kisheria kabisa ili kukamilisha hilo na watatumia Sir Name yako na utawamiliki kihalali.

Wasifu wangu
Miaka 35, Mkristo, Mwajiliwa sekta binafsi nina stable economy na watoto nawamudu na kuwalea vzr tu but nimekosa furaha ya mume na wao wanakosa furaha ya baba kutokana na sababu zilizojuu ya uwezo wetu. Naamini katika complete family japo kwa sasa haikuwa riziki yangu na natamani kurekebisha kwa mtu mwenye uhitaji wa kupata furaha ya watoto. (Win- Win Situation).

Hili swala zito haliitaji utani naomba only serious people waje DM.

Ahsante
Najua wakati unaopitia lkn shauku yako isikufanye ukafanya Jambo ambalo litakuja kucost, Ni vzr ukatafuta mume tu lkn watoto uwaambie ukweli.
 
Watoto wanatumia ubini gani kwa Sasa?

Je mwanaume utayempata mkikosana huko mbeleni, ubini wake utaendelea kuwa wa hao watoto?

Na je Baba wa hao watoto yuko wapi?
Na wasiwasi huenda alimla kichwa huwezi kuwa katika hali hiyo kwa kutaka,jitahidi mhusika uwe makini huenda unapenda kukutana na jini makata.
 
Asa kwa hao ulioweka umri wao kama kigezo kikuu wataweza kweli kusugua?
Labda kama unahitaji baba tuuh ila kama ni mizagamuano kwa kwenda mbele tafuta Gen Z wako vizuri kuliko ao wazee unaowawazia.
Lakini ni ushauri tuuh kila la kheri mkuu.
Gen Z huenda kawajaribu hawako na respect kwa hao wajuba.
 
Kwanini usikubali mume mwenye mtoto lakini sasa hawezi kuzalisha au hataki kuzaa? Huyu mtadumu. Tena hapa utawapata wengi kwa haraka.

Ukitaka hasiye zalisha na hana mtoto kuna element za ubinafsi (selfish). Haupo tayari kulea au kuwapenda watoto wa mtu mwingine wakati unataka wapendwe wako na mtu mwingine.
Anatakiwa ajua psychology ya wanaume,in fact wanaume.ni territorial hawezi Lea wa mwingine bike element yake,ili colable iende sawa ajitahidi kukubaki walau mtoyi mmoja au la huenda huyu manzi katili kuliko kawaida ni muuaji pia,sasa itakuwaje hapo.
 
Na bado mpaka akiri zitawarudi!

Maandiko yanasema:

Isaya 4:1 "na siku hiyo wanawake saba watamshika mwanaume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako...."
Hii verse ipo kweli? Wanawake wastuke mapema.
 
Back
Top Bottom