cacutee
JF-Expert Member
- Apr 9, 2024
- 1,333
- 3,512
Yanii wabishiiiUmewasilisha elimu ya uzamivu kabisa. Wasio kuelewa usichoke kuwaelimisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanii wabishiiiUmewasilisha elimu ya uzamivu kabisa. Wasio kuelewa usichoke kuwaelimisha
Sio wabishi, ilimu hiyo ni ilimu ya uzamivu, utafiti na fikra tunduizi kama zote ...hili halimo kwenye normal distribution curve....Yanii wabishiii
Urithi bye bye.Mtego huu.
Asante kwa kutambua HiloSio wabishi, ilimu hiyo ni ilimu ya uzamivu, utafiti na fikra tunduizi kama zote ...hili halimo kwenye normal distribution curve....
wavumilie
Uibe watoto wa watu huko umpe mwanaume mwingine ila wanawake ni nomaHabari
Najitokeza kwenu wana jukwaa kutafuta mwanaume matured kuanzia miaka 38-45 na mwenye hofu ya Mungu ambaye anatamani kuwa na mtoto/watoto lakini kwa namna moja au nyingine imeshindikana kwa njia ya kawaida lakini anauwezo wa kusex.
Mimi ni single mother mwenye watoto 3 natamani kuunganisha familia na mtu wa aina hiyo na tukifanikiwa kufunga ndoa tutafuata taratibu za kisheria kabisa ili kukamilisha hilo na watatumia Sir Name yako na utawamiliki kihalali.
Wasifu wangu
Miaka 35, Mkristo, Mwajiliwa sekta binafsi nina stable economy na watoto nawamudu na kuwalea vzr tu but nimekosa furaha ya mume na wao wanakosa furaha ya baba kutokana na sababu zilizojuu ya uwezo wetu. Naamini katika complete family japo kwa sasa haikuwa riziki yangu na natamani kurekebisha kwa mtu mwenye uhitaji wa kupata furaha ya watoto. (Win- Win Situation).
Hili swala zito haliitaji utani naomba only serious people waje DM.
Ahsante
Ukimkaba sana bila kumsikiliza changamoto anazopitia inaweza kumpa shida zaidi.Uibe watoto wa watu huko umpe mwanaume mwingine ila wanawake ni noma
Huu unabii ulikuwa hauna uhusiano/haumaanishi wanawake na wanaume, ulikuwa unahusu makanisa na Mungu(Yesu), wanawake wana represent makanisa na mwanaume hapo alikuwa anamrepresent Yesu.Na bado mpaka akiri zitawarudi!
Maandiko yanasema:
Isaya 4:1 "na siku hiyo wanawake saba watamshika mwanaume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako...."
Tatizo lipo kwenye hoja yake kuhusu watoto....ana watoto 3 , then anataka mwanaume asiye na watoto/ hawezi kupata watoto ...awe tayari kuwalea( kama wanawe) watoto wake! Hii dhana ni tata na tete! Hao watoto hawana baba ! Hawana ndugu wa baba! Hadi huyu anayetakiwa aingie mazima vile!Ukimkaba sana bila kumsikiliza changamoto anazopitia inaweza kumpa shida zaidi.
Andiko lake linaakisi kuwa anapitia changamoto kali sana, ni kama mtu amevamiwa, anapiga ukunga kuomba msaada.
Tatizo lipo kwenye hoja yake kuhusu watoto....ana watoto 3 , then anataka mwanaume asiye na watoto/ hawezi kupata watoto ...awe tayari kuwalea( kama wanawe) watoto wake! Hii dhana ni tata na tete! Hao watoto hawana baba ! Hawana ndugu wa baba! Hadi huyu anayetakiwa aingie mazima vile!
Yeye angetafuta Mwenza ambaye anakubaliana na status ya Familia yake Kwa Sasa!
Sema sintomeet vigezo vyote kama vya mtoa mada kwako......Usiogope
Habari
Najitokeza kwenu wana jukwaa kutafuta mwanaume matured kuanzia miaka 38-45 na mwenye hofu ya Mungu ambaye anatamani kuwa na mtoto/watoto lakini kwa namna moja au nyingine imeshindikana kwa njia ya kawaida lakini anauwezo wa kusex.
Mimi ni single mother mwenye watoto 3 natamani kuunganisha familia na mtu wa aina hiyo na tukifanikiwa kufunga ndoa tutafuata taratibu za kisheria kabisa ili kukamilisha hilo na watatumia Sir Name yako na utawamiliki kihalali.
Wasifu wangu
Miaka 35, Mkristo, Mwajiliwa sekta binafsi nina stable economy na watoto nawamudu na kuwalea vzr tu but nimekosa furaha ya mume na wao wanakosa furaha ya baba kutokana na sababu zilizojuu ya uwezo wetu. Naamini katika complete family japo kwa sasa haikuwa riziki yangu na natamani kurekebisha kwa mtu mwenye uhitaji wa kupata furaha ya watoto. (Win- Win Situation).
Hili swala zito haliitaji utani naomba only serious people waje DM.
Ahsante
Asante kwa kukazia mtumishiHuu unabii ulikuwa hauna uhusiano/haumaanishi wanawake na wanaume, ulikuwa unahusu makanisa na Mungu(Yesu), wanawake wana represent makanisa na mwanaume hapo alikuwa anamrepresent Yesu.
"kula chakula chetu" alikuwa anamaanisha makanisa yatakuwa yanajitafutia mafundisho yake yenyew ambayo hayana msingi wa neno la mungu halisia, kikawaida mwanaume huwa anamtafutia mkewe chakula au chakula kinatoka kwa mume, if otherwise you must put a question mark?
"Tutavaa nguo zetu" alikuwa anamaanisha makanisa watajifunika/watajivika Imani waijuao wao, isiyokuwa na misingi yeyote ya mafundisho ya neno la mungu, narudia tena kikawaida mavazi kama vile chakula hutoka kwa mume, mwanamke sio jukumu lake kujitafutua chakula na mavazi kama vile sio jukumu la kanisa kujitafutia mafundisho yake na imani, hapana inabidi vitoke kwa Mungu.
So nadhani nimejaribu kukuelezea how this prophecy should be interpreted, ila kama unataka utafsiri kama ulivoandika hapo awali ni uamuzi wako ila this is the true meaning of Isaiah's prophecy.
Ahsante kushukuruAsante kwa kukazia mtumishi
Sahihi mkuu ila katika kutafsiri bibilia si watu wate wawezao sasa hao wasioweza inakuwajeHuu unabii mnaubadilisha
Ulikuwa hauhusu wanawake Bali makanisa. Kwamba siku za mwisho makanisa yataibuka mengi kila moja likitaka liitwe kwa jina la Yesu lakini likiwa na Mafundisho ambayo sio ya Yesu. Yani ki kubwa litajwe tu kwa jina la Yesu.
Maipotoshe tafsiri