MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
1 Thimoteo 5:8 "Lakini mtu ye yote asiyewatunza walio wake, yaani, wale wa nyumbani mwake hasa, ameikana Imani, tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini".
Wakuu ninaandika huu uzi nikiwa ninakumbuka mambo niliyokuwa ninayaona wakati naishi kwenye mtaa mmoja wa uswahilini hapa mjini Dar. Ni mtaa wenye umaskini wa kutosha lakini pia kimaadili uko hovyo. Kitu kilichokuwa kinanishangaza ni wanawake wengi kulia shida kiasi kwamba kama huna hofu ya Mungu utachakata sana mbususu za wake za watu. Kimsingi kuna wanaume wengi wasiojituma kabisa kuhudumia familia.
Leo kwenye kusoma biblia ndo nikakuta kumeandikwa kuwa mtu asiyejali familia yake ni kama tu kaikana imani na sawa na mtu asiyeamini (kafiri). Ni kitu kibaya sana. Niwasihi mliooa mjali familia zenu vinginevyo mtalaumu watu kuwagongea wake zenu.