Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,675
- 1,756
Kwanini?Utoto raha sana
Vipi kama mimi niliyeacha bange ila ni mlevi wa chabo na nyeto?Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
🤣🤣Sema tu Leo haujisikii vizuri classmateIla hiki chama kimetufikisha pabaya sana haki...😪
Upo sahihi mkuu unaona “KAMA” ila uhalisia sivyo.Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Sisi huwa ni vitombi kwelikweli .Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.