Mwanaume asiyetumia kilevi chochote, havuti sigara wala hashabikii michezo namuona kama ana mapungufu

Pia sio rahisi kukutana nae mwanaume wa hivyo yaani ni ngumu mwanume asiyetumia bangi ,pombe n.k akaangukia katika mikono ya mwanamke wa sampuli Kama yako
Dactar kweli kabisa aiseee yaani hata mimi naona kabisa kuna watu wanakuja ila hawa match na hii character aiseeee ..

Yeye mwenyewe ana ji isolated.. na nilichogundua kuwa sisi ambao tupo hvi inafikia kipindi hawa watu siwaelewi kabisa
 
Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Wengine tushafanya yote hayo tumemaliza sasa tumepumzika.

Nimekunywa Champagne nikiwa Champagne, Scotch nikiwa Scotland na Tequila nikiwa Tequila.

Sio tu nilikuwa nakunywa pombe, nilikuwa nafanya mpaka utalii wa kunywa pombe.

Sasa nimepumzika.

Alcohol free since January 1 2024.
 
Sikua najua Tequila ni mji...nifundishe utalii wa kunywa pombe
 
Wengine tushafanya yote hayo tumemaliza sasa tumepumzika.

Nimekunywa Champagne nikiwa Champagne, Scotch nikiwa Scotland na Tequila nikiwa Tequila.

Sio tu nilikuwa nakunywa pombe, nilikuwa nafanya mpaka utalii wa kunywa pombe.

Sasa nimepumzika.

Alcohol free since January 1 2024.
Kunywa pombe dhambi...
 
Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Hao ulevi wao upo kwenye mbunye a.k.a vinyandulio vya kike
 
Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Tena waache kama ulivyoacha kunyonya ziwa la mama yako
 
Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Females hamueleweki, akiwa hanywi ishu, akinywa ishu mnataka nn 😂
 
Back
Top Bottom