Mwanaume asiyetumia kilevi chochote, havuti sigara wala hashabikii michezo namuona kama ana mapungufu

Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Eeeh miimi nilidhani siku hizi mnataka mwanaume mwenye pesa tu, kumbe sasa mahitaji yameongezeka au anywe pombe, avute sigara, awe shabiiki wa mpira au avute hata bangi. Taratibu tutafika sehemu mtataka walau awe hata jambazi au kibaka kidogo.
Sema hizi sifa hizi mara nyingi wanazipenda teenagers na wale early 20's ila wale 28+ hizi si kati ya sifa zao.
 
Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Hamjawahi kueleweka!
1553445755.jpg
 
Hii Dunia watu 7b+ mtaka tuwa na uniform tabia? Huu ujinga mwingine.
 
VIPI BABA AKO MZAZI ANAVUTA BANGI AU SHISHA AU ANAKUNYWA KOMONI MAANA CHARITY BEGINS AT HOME KAMA HAFANY AYO ITAKUW WEWE MTOTO WA HARAMU UNA BABA MWINGINE AMBAYE ANAKUNYWA WANZUKI AMBAYE NDO MKAMILIFU KWA AKILI ZAKO.
 
Mi kilevi changu ni movies...na jf
Sio mtu wa mpira wala bangi au pombe wala sigara..

Mi ni jf na movies...
Natamani niseme kuwa kupenda mashangazi ni kilevi ila nimegundua ulevi unaweza ukaacha ila mashangazi kuacha siwezi hivo hiki ni kipaji..

Am talented kwa hiko kitu sioni kama ni ulevi
 
Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Ila tunajua kulomba vizuri.
 
Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
kwani ulivyovitaja ndio vinamtambulisha mwanaume?
 
Back
Top Bottom