Mwanaume asiyetumia kilevi chochote, havuti sigara wala hashabikii michezo namuona kama ana mapungufu

Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Wee mwenyewe shoga unajifanya mwanamke kumbe *****,
 
Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Duuh
 
Wengine tushafanya yote hayo tumemaliza sasa tumepumzika.

Nimekunywa Champagne nikiwa Champagne, Scotch nikiwa Scotland na Tequila nikiwa Tequila.

Sio tu nilikuwa nakunywa pombe, nilikuwa nafanya mpaka utalii wa kunywa pombe.

Sasa nimepumzika.

Alcohol free since January 1 2024.
Kwa age yako pombe sio nzuri sana
 
Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Ebu fanya njoo inbox, mimi napiga visungura nakuwa bwiii masaa yote! Nadhani nitakuvutia sana nimekupenda mrembo mwaaaaah.
 
Kwa age yako pombe sio nzuri sana
Pombe siyo nzuri sana kwa age yoyote. Basi tulikuwa tunafanya ubishi tu.

Soma
No level of alcohol consumption is safe for our health

Wana ulevi wao na hobby zao! Ulevi siyo lazima utokane na kunywa pombe au kuvuta sigara,bhangi.
Wengine ulevi ni kusikiliza na kucheza mziki,wengine ulevi wa ngono,wengine ulevi wa madaraka,nk
Wengine hawashabikii mpira,lakini wengine wanapenda riadha,masumbwi,nk
Labda kama hashiriki cho chote basi huyo ana matatizo ya Afya ya akili.
 
Back
Top Bottom