Mwanaume asiyetumia kilevi chochote, havuti sigara wala hashabikii michezo namuona kama ana mapungufu

Mwanaume asiyetumia kilevi chochote, havuti sigara wala hashabikii michezo namuona kama ana mapungufu

Unajisikiaje mwanaume kumtukana mwanaume mwenzako Tena ukijiona wewe ni Bora mbele ya mwanamke, kama unataka huyo principle gal nendeni pm huko sio kuja kubwabwaja hapa

You are such a SIMP
Wanakuwaga wambea kinoma, na wanalwatetea kua wanakua vitombi ni uongo tu, ni makolo fulani kama makuku ya kisasa na yanaendesha sana mbunye na hutumia gharama kubwa mnoo kula mbunye za baamedi ambazo mdau anakula kwa offer ya bia mbili.
 
Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Kwaiyo Leo umeamua uje kunisema kabisa unadhamiria nn😆
 
vyote alivotaja sijawai kuwa na kilevi nacho, mimi mwenyew mpaka sasa najiuliza kilevi changu ni nini? nilijarib kufatilia mpira lakn nikaona kama unanisumbua tu akili
 
Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Rubbish, shule mnafungua lini?
 
vyote alivotaja sijawai kuwa na kilevi nacho, mimi mwenyew mpaka sasa najiuliza kilevi changu ni nini? nilijarib kufatilia mpira lakn nikaona kama unanisumbua tu akili
Na wewe mkuu mpira hufatiliii
 
hua naangalia lakin unakuta sijui ratiba vizur mapaka nistuliwe tena mechi iwe simba labda au yanga ... mfano mechi ya leo ya Simba nimeshangaa kuja kuona FT kwa milladayo
Me siwezi kuangalia kabisaaa
 
Back
Top Bottom