Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 4,074
- 6,617
Siku zote wanataka ambacho huna hivyo usijisumbueHamjawahi kujua mnataka nini maishani..........
Siku zote wanataka ambacho huna hivyo usijisumbueHamjawahi kujua mnataka nini maishani..........
Huyo sasa anakuwa ameharibikiwaMwanaume akiwa mlevi inafikia hatua hata kulomba hawezi
Kilevi kinakuwa kama busta, wakati huo inakuwa haina utofauti na viagra au vumbi la congo.Kiukweli kwa experience yangu wanaotumia vilevi wamewazidi
Umesoma vizuri au umekimbilia tu kucomment???Ukiona hawakuchangamkii ujue wewe ndiyo tatizo
eehHuyo sasa anakuwa ameharibikiwa
Ndiyo
Hatupo sawa na hatujawahi kukuvutia kivipi we Kahaba na Mlevi? Si kila mtu na maisha yake? Mbona unajioa umuhimu usionao kwemye maosha ya watu?😁😁😁Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Bila shaka we ni wakala wa shetaniMwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Niambie maana vyote umenilenga Sina kilevi chochote nipo tu 😆🤔
Sasa wewe ni balaaa jingine ila unavofanya sio sawa ipo siku utaumbuka tu mwisho wa ubaya aibu, time will tellKuna vilevi vingine hamuwezi kuvijua mpk mtuzingatie saaana kuna watu tuko smart kwny kuchakata mbususu km mm rafik yake wife huu mwaka wa nane naichakata tu kmy kmy na mpk leo ni mabest wakiwa wamekaa wanapiga stor aisee huwa naona k zao km zinapita pita usoni km matangazo vile
😅 umeona eehMtu akinyimwa akili ni shida sana...
Nani katukanwa bwanamdogo mbona unakasirika alpa male??Unajisikiaje mwanaume kumtukana mwanaume mwenzako Tena ukijiona wewe ni Bora mbele ya mwanamke, kama unataka huyo principle gal nendeni pm huko sio kuja kubwabwaja hapa
You are such a SIMP
Jau sana hao jamaa😅 😅 😅 makolo
😅 😅 😅 😅
Nichaichomeka nasubiri milio 😂😂, sio mda wachungaji wanakuja na mitusiVishu acha kujijazia minyama.
Mwanaume umeongea, I like it.Nani katukanwa bwanamdogo mbona unakasirika alpa male??
Nina washkaji kama wewe au huenda ni wewe mwenyewe ila hii id imekuficha, wao hawanywi pombe, hawavuti fegi wala ganja, starehe yao ni mbunye sasa kuzipata hizo mbunye gharama na muda wanaoutumia aloo unabaki mdomo wazi, na bado zinawalia sana pesa na mbunye hawapati ilihali wanyabi walevi, wala ganja wanazila kiwepesi tu huku mtaani wakionekana wana tabia mbaya (si unajua pisi zinapenda mbanga kama hizo).
Ni kweli kabisa madam hatupo sawa ila pia hatujawahi kuvutiwa na sampuli kama yako....Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Zaidi ya sanaJau sana hao jamaa
Mida ya jioniiiiiNi kweli kabisa madam hatupo sawa ila pia hatujawahi kuvutiwa na sampuli kama yako....
#Lips that touch liquors shall not touch ours!