Mwanaume asiyetumia kilevi chochote, havuti sigara wala hashabikii michezo namuona kama ana mapungufu

Mwanaume asiyetumia kilevi chochote, havuti sigara wala hashabikii michezo namuona kama ana mapungufu

VIPI BABA AKO MZAZI ANAVUTA BANGI AU SHISHA AU ANAKUNYWA KOMONI MAANA CHARITY BEGINS AT HOME KAMA HAFANY AYO ITAKUW WEWE MTOTO WA HARAMU UNA BABA MWINGINE AMBAYE ANAKUNYWA WANZUKI AMBAYE NDO MKAMILIFU KWA AKILI ZAKO.
Nonsense
 
Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Ukiona hawakuchangamkii ujue wewe ndiyo tatizo
 
Mwanaume akiwa mlevi wa pombe automatically na chini ya kitovu tena zoazoa ya barmaids hata matumizi ya kinga kwa usahihi sidhani.
 
Na wao the same ndivo wanavo waona na kurank wanawake wanao Kunywa na kulewa pombe, Kuvuta shisha & bangi, Kukesha bar & Clubs za starehe, Pamoja na kuvaaa kihasara hasara kutafuta free attentiin from streets.

The hare part of it nikuwa, You don't deserve type hii ya Wanaume, Just look for Ur type.
 
Kuna vilevi vingine hamuwezi kuvijua mpk mtuzingatie saaana kuna watu tuko smart kwny kuchakata mbususu km mm rafik yake wife huu mwaka wa nane naichakata tu kmy kmy na mpk leo ni mabest wakiwa wamekaa wanapiga stor aisee huwa naona k zao km zinapita pita usoni km matangazo vile
 
Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Mi ni mlevi wa kujamiiana, yaani huwa napiga miti kama nimetumwa na kijiji.
 
Ukitukosa huko unatukuta tunapenda kuwaungisha madada poa😂
 
Back
Top Bottom