Mwanaume asiyeweza kujilipia mahari mwenyewe anawezaje kulea familia?

Msitari wa pambizo

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
3,098
Reaction score
5,451
Nimeona taasisi moja ya kiislam imeazimia kuwalipia mahari wanaume 50 ili kuwawezesha kufunga ndoa.
20230409_185051.jpg

Nikajiuliza maswali kadhaa.
1. Hivi mwanaume kama hauna uwezo wa kulipa mahari unataka ndoa ya nini?

2. Hii taasisi imekaa na kuona namna bora ya kuwainua vijana ni kuwawezesha kuoa? 😀 Angalau basi wangewawezesha hata mitaji basi au hata wangewekeza kwenye elimu kwa vijana ili wajikomboe ki fikra na kiuchumi kabla ya ndoa

3. Wakati wakristo wakiendelea kujenga shule na vyuo pamoja na kuimarisha taasisi zilizopo wenzao wanawawezesha vijana kuoa. Baadaye nafasi za kimaamuzi zinazohitaji proffesionalism zikichukuliwa na vijana wakikristo (ambao wakati wenzao wakiwezeshwa kuoa wao walikuwa wanawezeshwa kupata elimu) kuna watu watakuja hapa watasema ni mfumo kristo

××××Nimemaliza××××
 
Nimeona taasisi moja ya kiislam imeazimia kuwalipia mahari wanaume 50 ili kuwawezesha kufunga ndoa.
View attachment 2582464

2. Hii taasisi imekaa na kuona namna bora ya kuwainua vijana ni kuwawezesha kuoa? [emoji3] Angalau basi wangewawezesha hata mitaji basi au hata wangewekeza kwenye elimu kwa vijana ili wajikomboe ki fikra na kiuchumi kabla ya ndoa

Hapo hakuna cha mfumo kafiri katika imani ya isilamu ndoa ni ibada kama zilivyo nyingine hivyo kuoa ni lazima kwa kijana alifikia wakati wakoa na kuolewa

Kuhusu kumuhudumia mke ndio anaweza kushindwa kulipa mahari ya laki 500 au m 1000 lakini akaweza kupata kila siku sh 10000 na kulipa kodi ya nyumba kwa mwezi sh 20000

Pia jambo la vijana kuozeshwa kwa waisilamu sio geni sema unalijua baada ya kutangaza

Hata kimila vija uozeshwa labda kwenu

Kuhusu makanisa kujenga shule hizo shule wakiristo hawa somi bule hata baadhi ya waisilamu wanapeleka watoto wao huko kusoma

Isilamu unaamini kuwa uasharati unaweza kudhibitiwa kwa kuoa na kuolewa na kudhibiti watoto wa mitaani pia ifahamike kila watu na mipango yao nyiyi wakiristo ndoa sio semi ya dini kwenu ndio maana mnashupaa umri wa biti kuolewa 18 huku akiwa anaziniwa na kutoa mimba kisha anaenda kubaliki ndoa kwa wapumbafu wasio oa ambao kazi yao kulawiti watoto
 
Ushaskia neno kubariki ndoa kwa wakristo? Sasa hapa wamelengwa watu wanaoishi kinyumba bila kufunga ndoa
 
Nimeona taasisi moja ya kiislam imeazimia kuwalipia mahari wanaume 50 ili kuwawezesha kufunga ndoa.
View attachment 2582464
Nikajiuliza maswali kadhaa.
1. Hivi mwanaume kama hauna uwezo wa kulipa mahari unataka ndoa ya nini?

2. Hii taasisi imekaa na kuona namna bora ya kuwainua vijana ni kuwawezesha kuoa? 😀 Angalau basi wangewawezesha hata mitaji basi au hata wangewekeza kwenye elimu kwa vijana ili wajikomboe ki fikra na kiuchumi kabla ya ndoa

3. Wakati wakristo wakiendelea kujenga shule na vyuo pamoja na kuimarisha taasisi zilizopo wenzao wanawawezesha vijana kuoa. Baadaye nafasi za kimaamuzi zinazohitaji proffesionalism zikichukuliwa na vijana wakikristo (ambao wakati wenzao wakiwezeshwa kuoa wao walikuwa wanawezeshwa kupata elimu) kuna watu watakuja hapa watasema ni mfumo kristo

××××Nimemaliza××××
Kumbe ndo mana MAMA kila panga pangua yake lazima achomeke muislam mmoja.
 
Hapo hakuna cha mfumo kafiri katika imani ya isilamu ndoa ni ibada kama zilivyo nyingine hivyo kuoa ni lazima kwa kijana alifikia wakati wakoa na kuolewa

Kuhusu kumuhudumia mke ndio anaweza kushindwa kulipa mahari ya laki 500 au m 1000 lakini akaweza kupata kila siku sh 10000 na kulipa kodi ya nyumba kwa mwezi sh 20000

Pia jambo la vijana kuozeshwa kwa waisilamu sio geni sema unalijua baada ya kutangaza

Hata kimila vija uozeshwa labda kwenu

Kuhusu makanisa kujenga shule hizo shule wakiristo hawa somi bule hata baadhi ya waisilamu wanapeleka watoto wao huko kusoma

Isilamu unaamini kuwa uasharati unaweza kudhibitiwa kwa kuoa na kuolewa na kudhibiti watoto wa mitaani pia ifahamike kila watu na mipango yao nyiyi wakiristo ndoa sio semi ya dini kwenu ndio maana mnashupaa umri wa biti kuolewa 18 huku akiwa anaziniwa na kutoa mimba kisha anaenda kubaliki ndoa kwa wapumbafu wasio oa ambao kazi yao kulawiti watoto
Hao walimu wa madrasa wanaolawiti watoto huwa ni watoto wa dinj ya kiyahudi?

Huku mtaani sisi tunawatafuna wavaa hijab japo wako mwezi wa Ramadhani, wanakuja tunapata iftar pamoja.

Sisi tunawasema hao mabinti wa kiislam ambao wanaolewa na wazee kuwa wake wa pili au watatu huku hawajawa na uwezo wa kufanya maamuzi wenyewe.

×××nimemeliza××
 
Uislamu ndo imebaki dini ya ukweli muda si mrefu naslimu
Unasubiri nini mkuu. Siku ukiingia kanisani unaposali geuka nyuma na angali mbele, angali kulia na kushoto alafu jiulizie ukiondoka wew mmoja lanisa litafungwa? 😀😀 uislam umeukuta ukristo na utauacha hvyo hvyo.

Mungu wa wakristo anajipigania mwenyewe lkn huyo wa kwenu mpaka mshike mapanga na mabomu mkauwe watu eti ndo mnampigania
 
Nimeona taasisi moja ya kiislam imeazimia kuwalipia mahari wanaume 50 ili kuwawezesha kufunga ndoa.
View attachment 2582464
Nikajiuliza maswali kadhaa.
1. Hivi mwanaume kama hauna uwezo wa kulipa mahari unataka ndoa ya nini?

2. Hii taasisi imekaa na kuona namna bora ya kuwainua vijana ni kuwawezesha kuoa? [emoji3] Angalau basi wangewawezesha hata mitaji basi au hata wangewekeza kwenye elimu kwa vijana ili wajikomboe ki fikra na kiuchumi kabla ya ndoa

3. Wakati wakristo wakiendelea kujenga shule na vyuo pamoja na kuimarisha taasisi zilizopo wenzao wanawawezesha vijana kuoa. Baadaye nafasi za kimaamuzi zinazohitaji proffesionalism zikichukuliwa na vijana wakikristo (ambao wakati wenzao wakiwezeshwa kuoa wao walikuwa wanawezeshwa kupata elimu) kuna watu watakuja hapa watasema ni mfumo kristo

××××Nimemaliza××××
Je umesha jiuuliza Mwanaume asiyeweza kujilipia sherehe ya harusi hadi mnachangishana pesa ya sherehe,je nae ataweza lea familia!!?
 
Hapo hakuna cha mfumo kafiri katika imani ya isilamu ndoa ni ibada kama zilivyo nyingine hivyo kuoa ni lazima kwa kijana alifikia wakati wakoa na kuolewa

Kuhusu kumuhudumia mke ndio anaweza kushindwa kulipa mahari ya laki 500 au m 1000 lakini akaweza kupata kila siku sh 10000 na kulipa kodi ya nyumba kwa mwezi sh 20000

Pia jambo la vijana kuozeshwa kwa waisilamu sio geni sema unalijua baada ya kutangaza

Hata kimila vija uozeshwa labda kwenu

Kuhusu makanisa kujenga shule hizo shule wakiristo hawa somi bule hata baadhi ya waisilamu wanapeleka watoto wao huko kusoma

Isilamu unaamini kuwa uasharati unaweza kudhibitiwa kwa kuoa na kuolewa na kudhibiti watoto wa mitaani pia ifahamike kila watu na mipango yao nyiyi wakiristo ndoa sio semi ya dini kwenu ndio maana mnashupaa umri wa biti kuolewa 18 huku akiwa anaziniwa na kutoa mimba kisha anaenda kubaliki ndoa kwa wapumbafu wasio oa ambao kazi yao kulawiti watoto
Kwani kwa akili zako wewe kikwazo cha watu kufunga ndoa ni mahari?
 
Unasubiri nini mkuu. Siku ukiingia kanisani unaposali geuka nyuma na angali mbele, angali kulia na kushoto alafu jiulizie ukiondoka wew mmoja lanisa litafungwa? [emoji3][emoji3] uislam umeukuta ukristo na utauacha hvyo hvyo.

Mungu wa wakristo anajipigania mwenyewe lkn huyo wa kwenu mpaka mshike mapanga na mabomu mkauwe watu eti ndo mnampigania
Tatizo wachungaji ni wapigaji
 
Kumbe na waislam nao wanatoaga mahari kubwa kiasi cha kushindwa kulipia aiseeee si nilisikua wanasema binti anaweza taja hata msahafu,ndoa inafungwa fasta
 
Nimeona taasisi moja ya kiislam imeazimia kuwalipia mahari wanaume 50 ili kuwawezesha kufunga ndoa.
View attachment 2582464
Nikajiuliza maswali kadhaa.
1. Hivi mwanaume kama hauna uwezo wa kulipa mahari unataka ndoa ya nini?

2. Hii taasisi imekaa na kuona namna bora ya kuwainua vijana ni kuwawezesha kuoa? [emoji3] Angalau basi wangewawezesha hata mitaji basi au hata wangewekeza kwenye elimu kwa vijana ili wajikomboe ki fikra na kiuchumi kabla ya ndoa

3. Wakati wakristo wakiendelea kujenga shule na vyuo pamoja na kuimarisha taasisi zilizopo wenzao wanawawezesha vijana kuoa. Baadaye nafasi za kimaamuzi zinazohitaji proffesionalism zikichukuliwa na vijana wakikristo (ambao wakati wenzao wakiwezeshwa kuoa wao walikuwa wanawezeshwa kupata elimu) kuna watu watakuja hapa watasema ni mfumo kristo

××××Nimemaliza××××
wapenda neno MFUMO KRISTO , yaana hawasomi na wanataka kuwa madokta
 
Hapo hakuna cha mfumo kafiri katika imani ya isilamu ndoa ni ibada kama zilivyo nyingine hivyo kuoa ni lazima kwa kijana alifikia wakati wakoa na kuolewa

Kuhusu kumuhudumia mke ndio anaweza kushindwa kulipa mahari ya laki 500 au m 1000 lakini akaweza kupata kila siku sh 10000 na kulipa kodi ya nyumba kwa mwezi sh 20000

Pia jambo la vijana kuozeshwa kwa waisilamu sio geni sema unalijua baada ya kutangaza

Hata kimila vija uozeshwa labda kwenu

Kuhusu makanisa kujenga shule hizo shule wakiristo hawa somi bule hata baadhi ya waisilamu wanapeleka watoto wao huko kusoma

Isilamu unaamini kuwa uasharati unaweza kudhibitiwa kwa kuoa na kuolewa na kudhibiti watoto wa mitaani pia ifahamike kila watu na mipango yao nyiyi wakiristo ndoa sio semi ya dini kwenu ndio maana mnashupaa umri wa biti kuolewa 18 huku akiwa anaziniwa na kutoa mimba kisha anaenda kubaliki ndoa kwa wapumbafu wasio oa ambao kazi yao kulawiti watoto
ndio maana wilaya ya temeke haijaendelea vijana wengi wana mitizamo kama yako , mtu akipata kibarua cha elf 10 kwa siku anahisi kamaliza dunia anaoa kabisa
 
Back
Top Bottom