Nimeona taasisi moja ya kiislam imeazimia kuwalipia mahari wanaume 50 ili kuwawezesha kufunga ndoa.
View attachment 2582464
Nikajiuliza maswali kadhaa.
1. Hivi mwanaume kama hauna uwezo wa kulipa mahari unataka ndoa ya nini?
2. Hii taasisi imekaa na kuona namna bora ya kuwainua vijana ni kuwawezesha kuoa? 😀 Angalau basi wangewawezesha hata mitaji basi au hata wangewekeza kwenye elimu kwa vijana ili wajikomboe ki fikra na kiuchumi kabla ya ndoa
3. Wakati wakristo wakiendelea kujenga shule na vyuo pamoja na kuimarisha taasisi zilizopo wenzao wanawawezesha vijana kuoa. Baadaye nafasi za kimaamuzi zinazohitaji proffesionalism zikichukuliwa na vijana wakikristo (ambao wakati wenzao wakiwezeshwa kuoa wao walikuwa wanawezeshwa kupata elimu) kuna watu watakuja hapa watasema ni mfumo kristo
××××Nimemaliza××××