Mwanaume asiyeweza kujilipia mahari mwenyewe anawezaje kulea familia?

hakuna madem mseleleko kama wa imani hiyo , yaan wao buku 5 tu umemaliza
 
Je umesha jiuuliza Mwanaume asiyeweza kujilipia sherehe ya harusi hadi mnachangishana pesa ya sherehe,je nae ataweza lea familia!!?
sherehe anasherekea pekee yake ?
 
Hii kitu iliishaje? Vijana waliozeshwa kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…