Mwanaume atakae kuja kukuoa atapata raha sana

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
Msichana Unatoka Kwenu Unaenda Kwa Jamaa Mnafanya Yenu Mnamaliza Unaanza Kufua,Unaosha Vyombo, Unafagia Na Kudeki Ndani ,Unapika Mnakula Baada Ya Kumaliza Jamaa Anakwambia Mwanaume Atakaekuoa Atapata Raha Sana

Hivi utamjibu ni nini huyo Mwanaume [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Thread ingesomeka hivi, swali kwa wasichana.
 
hahahah hapa ni somo kwa wanaume,unawaamsha ,huyo anayekuja anakupikia,kukuoshea etc sio wife material kabisaaaπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ huyo anataka ndoa jichunguze kama anakupenda au anataka ndoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…