Mwanaume atakae kuja kukuoa atapata raha sana

Mwanaume atakae kuja kukuoa atapata raha sana

Halafu msifikiri mpo huru hivo kuwachezea watoto wa watu. Not to that extent, watch it
 
Mwanaume asiyejitambua ndiye anayeweza kutoa kauli kama hii. Yeye kama mwanaume haitaji raha kama hizo!?




Msichana Unatoka Kwenu Unaenda Kwa Jamaa Mnafanya Yenu Mnamaliza Unaanza Kufua,Unaosha Vyombo, Unafagia Na Kudeki Ndani ,Unapika Mnakula Baada Ya Kumaliza Jamaa Anakwambia Mwanaume Atakaekuoa Atapata Raha Sana

Hivi utamjibu ni nini huyo Mwanaume [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom