Mwanaume atakae kuja kukuoa atapata raha sana

Mwanaume atakae kuja kukuoa atapata raha sana

hahahah hapa ni somo kwa wanaume,unawaamsha ,huyo anayekuja anakupikia,kukuoshea etc sio wife material kabisaaa🙂🙂🙂🙂 huyo anataka ndoa jichunguze kama anakupenda au anataka ndoa?
nimekuelewa kwelikweli... nitakuwa makini..!!!
 
Aisee kwenye miti hakuna wajenzi
kwelii kabisaa....bt shida inakuja pale unapokosa kukaaa kwa harufu ya nguo chafu hau vyombo vichafuuu.. mbayaaa zaidii harufuu ya mikojo na uchafu wa choo ukiusikia wakatiii uangeuka geukaaaa thn na weweee unaenda kuchuchumaaa hapo hapooo uuuuuiiiiiiiiiiii unajikuta unafanyaaa tuuuu sababuuu hujazoea uchafuuu wakati we mwenyewe unamfanya yeye wa kuzugiaaaa......hilaaa akinipa nenoo hilooo live ahaaaa hapo lazima tulipane hata kwa kuvaa tshirt yakeeeee.looool
 
Ni maneno mepesi ila yana maana kubwa sana kwa mtu makini... hapo unamanisha kwamba yeye ni wa kupita tu... mbaya sana... kuna vitu vingine hupaswi kusema hata kwa utani...


cc: mahondaw
 
Mpe credit Katarina wa Karatu, sio unakopi na kupesti bila aibu. Sio uungwana.
 
Msichana Unatoka Kwenu Unaenda Kwa Jamaa Mnafanya Yenu Mnamaliza Unaanza Kufua,Unaosha Vyombo, Unafagia Na Kudeki Ndani ,Unapika Mnakula Baada Ya Kumaliza Jamaa Anakwambia Mwanaume Atakaekuoa Atapata Raha Sana

Hivi utamjibu ni nini huyo Mwanaume [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unamwambia tu. Asante. Unamaliza shughuli zako unaondoka na usimwambie chochote..
Unampotezea tu.
 
Back
Top Bottom