Mwanaume atakae kuja kukuoa atapata raha sana

Mwanaume atakae kuja kukuoa atapata raha sana

Unamwambia you are the luckiest umenipata sweetheart 🙂 afu unamsikilizia huku uki-observe 'mannerisms' zake
Ningenyanyua majeshi yangu sahiyo hiyo na kumdelete kwanzia mda huo
 
Ningenyanyua majeshi yangu sahiyo hiyo na kumdelete kwanzia mda huo

Kwani mlipokubalina kuanza mapenzi kulikuwa na kipengele cha kwamba baada ya hapo ni ndoa, jamani tuwe realistic siyo kila mahusiano lengo lake ni ndoa. Wapo wadada wengi pia ambao wanakuwa na mahusiano akijua kabisa kuwa huyo sio mume wa ndoa kwa vigezo vyake lakini kwa mahusiano tu anaona anamfaa vizuri na hivyo hivyo kwa upande wa wanaume pia. Sasa swala la kusema nanyanyua majeshi muda huo huo as if kuna mkataba umevunjwa sijui linatoka wapi.

Na kama kulikuwa makubaliano ya kuoana (uchumba), huenda jamaa anamshukuru Mungu kwa kupata mtu sahihi kwa lugha ambayo sio direct, wewe kwa papara unaondoka nduki ama unatoa lugha za kuudhi kama yule wa mkate kwenye birthday party huku ufunguo wa gari ukiwa ndani yake. Kumbe basi ni kuwa mtulivu, mmulize anamanisha nini and then uchukue hatua muafaka bila temper

Any way ni mtazamo wangu tu
 
Back
Top Bottom