Mwanaume atekwa, ni kilio kwa mke wa Ndoa: Wadangaji watuhumuwa kuua

Mwanaume atekwa, ni kilio kwa mke wa Ndoa: Wadangaji watuhumuwa kuua

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,434
Reaction score
27,177
*UMBUMBUMBU WETU WANAUME NDIO TUNAVYOTUMIKA KULEA WADADA WA MJINI WANAVYOISHI BILA KAZI.*

Wanaume wa Dar inasemekana wanatekwa kimapenzi na hata kufa kimapenzi kwa usanii wa wanawake waitwao, wadangaji, hii inatokea maeneo ya Sinza, Kijitonyama,Kinondoni na Mwenge.

Msichana akitaka NGUO mpya wala
hahangaiki sana... Anaingia tu kwenye PHONEBOOK yake.

anachagua Madanga yake 20 anayoyaamini kwamba hayawezi kumuangusha.

Anatype Meseji tamuuu ambayo kila Danga likipokea linahisi hiyo ni Meseji yake peke yake.

UJUMBE UNATUMWA HIVI..
"Baby Mambo..?
Nimekumiss leo hadi nimekuota yaani nimeamka So Wet.. I really miss my Pompolimpo,na vile wajuaga kunikuna..
But pole na kazi Mme wangu,I wish I was there nikumassage na Ulimi hadi usinzie..
Baby leo Niko zangu tu home sijatoka nlikuwa naangalia Muvi mara LUKU imekata hapa na sina hata Salio.
Kama una TSh 30,000 unitumie ninunue Luku Mume wangu.

Please maana kutoka mpaka ATM saa hizi usiku.. halafu mimi mwanamke nsijeibiwa ukanikosa.. Love you xoxoxo"

Akimaliza Anatengeneza BROADCAST LIST anayaweka yale Madanga yake humo halafu anatafuta Option inaitwa SEND TO MANY, Anaifowadi ile meseji TWAAAAP!!

Anauchuna kama dakika 5 hivi,kusubiria Madanga yake yajibu.

Mara meseji za Miamala zinaanza kutiririka kutoka Ukonga,Tabata,Mbezi,Kimara,Buguruni mpaka Tegeta,Sinza mpaka Makongo Juu.

"Imethibitishwa umepokea 30,000 kutoka kwa Rajabu Kistuli"
"Imethibitishwa umepokea 32,000 kutoka kwa Justine Kipipa"
Nusu saa tu kashakusanya LAKI 6 kesho yake anaamka anaenda dukani anafanya shopping.

Siku ukibahatika kufika Geto kwake utajikuta wee Danga uloajiriwa humfikii..
We unabaki kujiuliza Demu wa 1st year ana iPhone 6s kaipata wapi na Bodi ya Mikopo haijaingiza BOOM,
Kumbe mwenzio BOOM LAKE BINAFSI ni wew na wajinga wenzio..

Mki CLICKIWA tu mnatuma
hela kibwena wakati Wazazi au Ndugu zenu Kijijini wanashindia Mlo Mmoja.
Wazazi Nyumba zao zavuja kipindi hiki cha Mvua wew walea michepuko mjini.
Nyumba ya Wazazi wako toka umezaliwa ukalelewa mpaka umebahatika Kazi badala ya kuwajengea hata iwe na Umeme wa REA elfu 27 tu umeshindwa.

Sasa ishi ukijua hilo kuwa unatumika kwa matumizi mabaya.

Tusiendekeze sana,unapoombwa na Mchepuko hela kwanza fikiria Wazazi wako

Nyumbani maisha yao hawajakuomba hela hata wabadili Mboga?

Halafu fikiria Familia yako(Mke na Wanao) hawataman leo kubadili chakula?

Au mkeo hajakuomba kitu umnunulie? Au hata mwanao?

Kama utakuta kote huko umetimiza mahitaji yao basi mtumie huyo Mchepuko wako roho ikiwa na aman.

Lakini kama hao nlowataja hapo wapo kwenye Dhiki.

ndugu yangu upotezee huo mchepuko ombi lake wazia Wazazi au familia yako.
Kaa ukijua nlokutajia hapo ni machache tu kwa Mchepuko ila Baya zaidi mchepuko haunaga fadhila.

Inauma ila tuvumiliane.
 
kwa awamu hii ya 5 hayo mambo hayapo kabisa
hivyo vijiwe ulivyovitaja Sinza, Kijitonyama,Kinondoni na Mwenge.
hata ukimpa demu buku 5 tu unakula mzigo
sasa unasema 30
Jamani buku 5 ya Magu si mchezo mchele kilo 2 hupati sembuse unga wa mahindi kilo 3?
Heshima itarudi tu na buku 2 itaheshimiwa hakuna kumpa mdangaji kitu kaa ulee familia
huna Bima ya Afya, nauli, ada za watoto nk
labda km ni mwanachhuo unategemea Boom
 
Siku hizi wanakujaga na gia zao za kijinga ".....Bae nina Nye***ge ile mbya leo. fanya mpango basi tuonane unikune.......".mwaume mjinga unaweza kukurupuka wangu wangu kumtafuta.Anajua mkionana tu atafanye yake.

Haliwi mtu hapa!
 
Mambo ya kawaida hayo ninatafuta pesa ili iweje inizoee kwa kuitumia
 
Back
Top Bottom