kipepe comrade
Member
- Jun 8, 2019
- 41
- 27
Mm mwenyewe nimestuka 30 unamtumia mtu kwenye simu labda niwe naye
Tungekuwa tunafahamiana mbona rahisi sana hiyoWacha bwana naomba elfu 50 tu boss
siyo kwa kiasi hiki tunavyowafanyia wanaume
Wanaoponda maisha ni wtoto wa kina chenge, jiwe, bashungwa, siro, kipilimba, musiba, Malechela, mnauye, mwinyi, kikwete, mkapa, wasira, mwanry, karumw, idris wakil, shein, samia , kinana, /Dewji, gulamali ila wewe ni kapuku tu, huwezi kula kempisky, shopping dubai, kujenga na kununua apartment masaki, kawe beach, wewe ukishika hela kabisa utaishia MTONI KWA AZIZI ALI baada ya kuahma hapo MBAGALA KIBONDEMAJIkweli nimeamini mitandao ni maisha feki, mtaani watu wanakula bia ile mbaya tena kila siku, mandinga mapya barabarani yapo yanaongezeka tu, nyie endeleen kusema hali ngumu wakat wenzen wanaponda maisha
Mkuu hilo lipo kweli huko Sinza.Sikuhiz anaweza vuna book zakutosha kwa kutunga story za uwongo mara vocha mara sijui nn basi dhiki tupu.
Tungekuwa tunafahamiana mbona rahisi sana hiyo
Mungu anakupenda sana, wadangaji wamehamia maeneo ya mliman city, kila mmoja anaongea kingerezaMkuu hilo lipo kweli huko Sinza.
Mie karibu niingie laini nikashtuka tu.
ha ha ha , lishakukutu shosti angu?UJUMBE UNATUMWA HIVI..
"Baby Mambo..?
Nimekumiss leo hadi nimekuota yaani nimeamka So Wet.. I really miss my Pompolimpo,na vile wajuaga kunikuna..
But pole na kazi Mme wangu,I wish I was there nikumassage na Ulimi hadi usinzie..
Baby leo Niko zangu tu home sijatoka nlikuwa naangalia Muvi mara LUKU imekata hapa na sina hata Salio.
Kama una TSh 30,000 unitumie ninunue Luku Mume wangu.
Please maana kutoka mpaka ATM saa hizi usiku.. halafu mimi mwanamke nsijeibiwa ukanikosa.. Love you xoxoxo"
Akimaliza Anatengeneza BROADCAST LIST anayaweka yale Madanga yake humo halafu anatafuta Option inaitwa SEND TO MANY, Anaifowadi ile meseji TWAAAAP[emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102]
Asante mkuu huyo mdangaji mambo aliyoniambia atanifanyia , mpaka nikachanganyikiwa.Mungu anakupenda sana, wadangaji wamehamia maeneo ya mliman city, kila mmoja anaongea kingereza
Anaishi kwa kutegemea buku 7 ya lumumba fc huyo.Wanaoponda maisha ni wtoto wa kina chenge, jiwe, bashungwa, siro, kipilimba, musiba, Malechela, mnauye, mwinyi, kikwete, mkapa, wasira, mwanry, karumw, idris wakil, shein, samia , kinana, /Dewji, gulamali ila wewe ni kapuku tu, huwezi kula kempisky, shopping dubai, kujenga na kununua apartment masaki, kawe beach, wewe ukishika hela kabisa utaishia MTONI KWA AZIZI ALI baada ya kuahma hapo MBAGALA KIBONDEMAJI
pole yako, ungelizwaAsante mkuu huyo mdangaji mambo aliyoniambia atanifanyia , mpaka nikachanganyikiwa.
Ila akakosea kitu kimoja tu.
Baadaya kuniahidi pepo ya mapenzi akatunga safari ya S Africa akitaka nimchangie.
Machale yakacheza
kwa nguvu!