Mwanaume atekwa, ni kilio kwa mke wa Ndoa: Wadangaji watuhumuwa kuua

Asante mkuu huyo mdangaji mambo aliyoniambia atanifanyia , mpaka nikachanganyikiwa.
Ila akakosea kitu kimoja tu.

Baadaya kuniahidi pepo ya mapenzi akatunga safari ya S Africa akitaka nimchangie.

Machale yakacheza
kwa nguvu!
pole yako, ungelizwa
 
Dah Uzi huu unanihusu danga limeninyonya mpaka socks zinatela afu lenyewe linazidi nenepa lakn tutafanyaje
 
Wewe mzima kweli?
 
Asante mkuu huyo mdangaji mambo aliyoniambia atanifanyia , mpaka nikachanganyikiwa.
Ila akakosea kitu kimoja tu.

Baadaya kuniahidi pepo ya mapenzi akatunga safari ya S Africa akitaka nimchangie.

Machale yakacheza
kwa nguvu!
Naona mzee uliambiwa pumbu zitanyonywa huku zimewekwa kwny kisosi chenye asali naona ukachanganyikiwa mzee baba.
 
Naona mzee uliambiwa pumbu zitanyonywa huku zimewekwa kwny kisosi chenye asali naona ukachanganyikiwa mzee baba.
tukiwa vijana tulikuwa tunafanya haya, unakamatia mwanaume anataja siri zake zote, alafu anamtukana hadi mama yake
 
INAUMA ,TUNAJUA LAKINI HATUKOMI
 
Ngoja nihifadhi huu uzi kwa kumbukumbu
..binafsi nahonga nikitaka kutia siku moja mbili tatu sio zaidi ya hapo.
 
Mbona title haina uhusiano na habari yenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu anakupenda sana, wadangaji wamehamia maeneo ya mliman city, kila mmoja anaongea kingereza
daa ila mlimani city unaweza zania umepata mtoto mkai kumbe wote wauzaji nitawapa story ya demu mmoja nilikumiana nae mlimani city
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…