Mwanaume auliwa kwa kukatwa mapanga nyumbani kwa mpenzi wake, yadaiwa alikuwa akitembea na mke wa mtu

Mwanaume auliwa kwa kukatwa mapanga nyumbani kwa mpenzi wake, yadaiwa alikuwa akitembea na mke wa mtu

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Mwanaume mmoja aliyetambulika kwa jina la Kibwana Musa mkazi wa Kijiji cha Kiziwa Kata ya kiroka wilayani Morogoro, amekutwa ameuawa alfajili ya kuamkia leo Juni 22, 2022 kwa kukatwa panga nyumbani kwa mwanamke anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake.

Akizungumzia tukio hilo, Mwenyekiti wa kijiji hicho, Mbena Loki amesema Musa aliuawa na mtu aliyedaiwa kuwa ni mume wa mwanamke huyo aliyemtaja kwa jina la Farida Ally.

Mwenyekiti huyo amesema taarifa za kuuawa kwa mwanaume huyo zilianza kusambaa asubuhi na uongozi wa Kijiji ulifika eneo la tukio na kumkamata mwanamke huyo na kumpeleka kituo kidogo cha Polisi Mkuyuni kwa ajili ya usalama wake.

“Taarifa nilizonazo ni kwamba, kwa muda mrefu huyo mwanamke aliachana na mume wake (ambaye ni mtuhumiwa), hivyo alianzisha uhusiano wa mapenzi na marehemu, hata hivyo, mtuhumiwa alikuwa akiendelea kumfuatilia huyu mwanamke," amesema Loki.

“Leo kaamua kumvizia na kumkuta ndani na kuamua kumuua mwanaume mwenzake kwa kumkata mapanga," alisema.

Mtuhumiwa baada ya kufanya mauaji hayo alikimbia na jitihada za kumsaka zinaendelea.
 
Pole kwa mfiwa.

Sijui iweje tutatue hili zogo jama.

Leo kwa mwanafunzi kesho kwako!! Si ajabu aliambiwa ye yuko single ajiachie yuko huru kumbe ...

Na mm nina mahusiano na single maza ambae mwanae ana mtoto mchanga tu, hii habari imeniogopesha kwakweli.
Hizi mbususu hizi acha tu .
 
Jamaa aliyeua nae atakamatwa apelekwe ndani miaka 15-30 anamwacha mkewe akiendelea kuchakatwa vilivyo

Akija kutoka ndani atakuta mkewe amezalishwa Watoto watatu au wanne wakati yeye huko alipo atasahau ladha ya papuchi

Atajutia alichofanya.
 
Nyie vijana wa sikuhiz wasenge sana, unaendaje kupiga game nyumban au ktk getto la mwanamke.

Pumbav zenu mtakufa sana na mapanga. Hata mwanamke akuonyoshe Divorce Papers usikubali kulala kwake.

Hapo muuaji kama ana akili na alijipanga vzuri basi hakuna kesi hapo.
 
Back
Top Bottom