Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Unaguna, au uliwahi kukutana na mtu wa design hiiMmmh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaguna, au uliwahi kukutana na mtu wa design hiiMmmh
Jf Kuna storee nyingi sana[emoji848]Unaguna, au uliwahi kukutana na mtu wa design hii
kama humtaki mtu usile hela yake, mtu ana invest kwako miaka , then unamuacha kisa umepata mwingine, mauaji yatazidi tu kuongezeka ukahaba umezidi kuwadanganya wanawake. Wezi wa hela kwa kigezo cha mapenzi hawatoachwa na wasioujua kusamehe.Wanaume wengi hawajui kuachika hata kama kosa ni lao wanabaki kuwa ving'ang'anizi utadhani waliibandika wao hio mbususu na kuipa kopiraiti ya peke yao.
Ukiachwa achika acha watu waishi kwa amani
kama humtaki mtu usile hela yake, mtu ana invest kwako miaka , then unamuacha kisa umepata mwingine, mauaji yatazidi tu kuongezeka ukahaba umezidi kuwadanganya wanawake. Wezi wa hela kwa kigezo cha mapenzi hawatoachwa na wasioujua kusamehe.
Hakuna aliyekula pesa ya mwenzie hapo bali muuaji hakupenda kuona mwanamke akiwa kwenye mahusiano mengine baada ya kuachana.“Taarifa nilizonazo ni kwamba, kwa muda mrefu huyo mwanamke aliachana na mume wake (ambaye ni mtuhumiwa), hivyo alianzisha uhusiano wa mapenzi na marehemu, hata hivyo, mtuhumiwa alikuwa akiendelea kumfuatilia huyu mwanamke," amesema Loki.
“Leo kaamua kumvizia na kumkuta ndani na kuamua kumuua mwanaume mwenzake kwa kumkata mapanga," alisema.