Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Sio wachoyo hawana ila wanajifanya wanazo.Hiyo safi sanaaaa wanaume wachoyooo snaa
Umasikini Mbaya sanaTatizo tukimuita mmoja, nayeye ana alika rafiki zake hata wanne.
Sasa hapo walifika kwanza wanamtathmini mwanaume, wakiona ananukia kama bank, basi wanaanza kuagiza mijidude mikubwa mikubwa, na ikiwezekana wanaagiza hata mbuzi mzima.
Eti mtu ana elf 10 mfukoni anakwambia nikupeleke Morena Hotel wakat huko bia moja elf 500 mweeeh Si aibu hiyoooSio wachoyo hawana ila wanajifanya wanazo.
Ni waongo na wazushi mfyuuu
Ubahili unaanza pale ambapo mnataka kumkomoa mtu,wakati tumeitana kiroho safiiSio wachoyo hawana ila wanajifanya wanazo.
Ni waongo na wazushi mfyuuu
Washamba hao.kwani ukiwa mkweli utakufa?Eti mtu ana elf 10 mfukoni anakwambia nikupeleke Morena Hotel wakat huko bia moja elf 500 mweeeh Si aibu hiyooo
[emoji14] [emoji14] [emoji14] hilo lijamaa ni la kisasa coz nowadays kutoa pesa ni rahis kuliko kuipata.Jana nimecheka sana sana kwa sababu wadada walikimbiwa na kuachiwa bili baada ya kula na kunywa kama vile hawatakula tena.Walikuja na mwanaume aliyeonekana ana hela hawa wadada walikuwa watatu wanaonekana ni wanachuo wa chuo kimoja hapa tabora.
Wakaagiza mavinywaji machupa makubwa sijui yanaitwaje kila mtu moja moja yapo kama soda ya mirinda nyeusi.Jikoni wakaagiza kuku wawili na chipsy mayai kila mtu wakala zote kwa uroho hawajabakisha hata shingo waroho sana.
Huyo mkaka aliagiza tu maji makubwa basi.
Baada ya bili kupelekwa huyo mkaka akasema ngoja akatoe hela kwenye Atm kumbe akawa amekimbia moja kwa moja huku wadada walikuwa wanapiga stori wanagonga na mikono sijui walikuwa wanasema nini.Muda ulivyozid kwenda nahisi wakampigia simu haipatikani ikabidi waanze kuhaha wamekaaa hapo mpaka usiku saa 3 ndio kuna mdada mwingine akaja kulipa hela wakaondoka.Nikasema jaman pole yao tu wakome kudowea vya wanaume saivi wamekuwa wachoyo sana wabahili sana sana wanaume wamekuwa wachoyo .
You didn't get it right the first time thereby watering down your understanding of my point.Why should I ?
I got it very well.You didn't get it right the first time thereby watering down your understanding of my point.
man you sound so arrogant!Kupitia comment's zako nakuza sana uwezo wangu ktk kuielewa lugha ya waingereza hasa ktk kusoma na kuzungumza(bado kuandika)
Mimi nafanya kazi ya kuhidumia kwenye jiko la Bar mbona unalalamika sanaNa wewe siku nyingine ukienda Bar fuata kilichokupeleka,usipende kuchunguza yasiyo kuhusu,yaani umeacha kilicho kupeleka mpaka ukaanza kuwahesabia walivyo agiza mpaka wanavyokula,na ukaona wamekula Kuku bila kubakisha hata shingo?!!
Au ni wewe ndiye uliyekimbiwa?
Hayo mambo ya kukimbia bili hayajaanza leo. Huwa yanatokea mara kwa mara hao wanawake namna hiyo hawajifunzi na wala hawatoisha.Safi sana wamezoea slope! hilo ni funzo hata humu ndani usimuamini mwanaume yeyote hata kama ni kaka yako anaweza akakushangaza usiamini macho yako,
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ahhahahaha aiseee kazi kweli halaf kwa Tabora kuku bei rahisi halaf unaitwa unaenda na watu wa3 mtazungumza kwelu hata na huyo aliekuita
Au danga likaamua kuwadangia kama sio TPSC ni chuo cha ardhi Tabora
Hata kama unahudumia jiko,still bado unafuatilia maisha ya watu,fanya kazi yako ya jiko na sio kuchunguza wateja eti wamekula Kuku na hawakubakiza hata shingo!! Kwani kati ya mimi na wewe ni nani aliyeleta malalamiko humu?! ni nani anayelalamika? mimi silalamiki bali nakupa ushauri nasaha.Mimi nafanya kazi ya kuhidumia kwenye jiko la Bar mbona unalalamika sana