Mwanaume awakimbia wadada na kuwaachia bili Bar.

Mwanaume awakimbia wadada na kuwaachia bili Bar.

Tatizo tukimuita mmoja, nayeye ana alika rafiki zake hata wanne.
Sasa hapo walifika kwanza wanamtathmini mwanaume, wakiona ananukia kama bank, basi wanaanza kuagiza mijidude mikubwa mikubwa, na ikiwezekana wanaagiza hata mbuzi mzima.
Umasikini Mbaya sana
 
Jana nimecheka sana sana kwa sababu wadada walikimbiwa na kuachiwa bili baada ya kula na kunywa kama vile hawatakula tena.Walikuja na mwanaume aliyeonekana ana hela hawa wadada walikuwa watatu wanaonekana ni wanachuo wa chuo kimoja hapa tabora.
Wakaagiza mavinywaji machupa makubwa sijui yanaitwaje kila mtu moja moja yapo kama soda ya mirinda nyeusi.Jikoni wakaagiza kuku wawili na chipsy mayai kila mtu wakala zote kwa uroho hawajabakisha hata shingo waroho sana.
Huyo mkaka aliagiza tu maji makubwa basi.
Baada ya bili kupelekwa huyo mkaka akasema ngoja akatoe hela kwenye Atm kumbe akawa amekimbia moja kwa moja huku wadada walikuwa wanapiga stori wanagonga na mikono sijui walikuwa wanasema nini.Muda ulivyozid kwenda nahisi wakampigia simu haipatikani ikabidi waanze kuhaha wamekaaa hapo mpaka usiku saa 3 ndio kuna mdada mwingine akaja kulipa hela wakaondoka.Nikasema jaman pole yao tu wakome kudowea vya wanaume saivi wamekuwa wachoyo sana wabahili sana sana wanaume wamekuwa wachoyo .
[emoji14] [emoji14] [emoji14] hilo lijamaa ni la kisasa coz nowadays kutoa pesa ni rahis kuliko kuipata.
Alafu hakuna mwanaume mchoyo kwa mwanamke anayempenda.
Obviously mlengwa alikuja na team ya netball na jamaa mfukon ana buku 20 tu so kaona bora asepe tu na atajitetea kuwa alitekwa na wasiojulikana na kuibiwa pesa zote alizo withdraw kutoka bank
 
WaDada wajifunze kupitia wenzao. Mdada anayekupenda kamwe hawez kubeba wenzie bila kukuomba ruhusa ya kufanya hivyo
 
....eti wanaume wamekuwa wachoyo sana" hahahaha,.

Nawao wanakulaje kama wanajenga barabara jamanii khaa!!!
Ndio uchoyo tu angelipa tu jamani aibu boss wangu alisema atawafungia jikoni wasipolipa
 
Na wewe siku nyingine ukienda Bar fuata kilichokupeleka,usipende kuchunguza yasiyo kuhusu,yaani umeacha kilicho kupeleka mpaka ukaanza kuwahesabia walivyo agiza mpaka wanavyokula,na ukaona wamekula Kuku bila kubakisha hata shingo?!!

Au ni wewe ndiye uliyekimbiwa?
Mimi nafanya kazi ya kuhidumia kwenye jiko la Bar mbona unalalamika sana
 
Kuna siku moja wanawake wa tabia hii walikomeshwa. Jamaa moja na mwenzie waliaalika alimwalika
Safi sana wamezoea slope! hilo ni funzo hata humu ndani usimuamini mwanaume yeyote hata kama ni kaka yako anaweza akakushangaza usiamini macho yako,
Hayo mambo ya kukimbia bili hayajaanza leo. Huwa yanatokea mara kwa mara hao wanawake namna hiyo hawajifunzi na wala hawatoisha.
 
Ukitaka kumtoa mwanamke out km unampenda, usimweleze kabla. We mwambie twende mahali tuongee, hapo hatapata yale mawazo yao ya kijinga ya kualika mashoga zake.
 
Ahhahahaha aiseee kazi kweli halaf kwa Tabora kuku bei rahisi halaf unaitwa unaenda na watu wa3 mtazungumza kwelu hata na huyo aliekuita
Au danga likaamua kuwadangia kama sio TPSC ni chuo cha ardhi Tabora
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mimi nafanya kazi ya kuhidumia kwenye jiko la Bar mbona unalalamika sana
Hata kama unahudumia jiko,still bado unafuatilia maisha ya watu,fanya kazi yako ya jiko na sio kuchunguza wateja eti wamekula Kuku na hawakubakiza hata shingo!! Kwani kati ya mimi na wewe ni nani aliyeleta malalamiko humu?! ni nani anayelalamika? mimi silalamiki bali nakupa ushauri nasaha.
 
Back
Top Bottom