Mwanaume awakimbia wadada na kuwaachia bili Bar.


Hamna sio wanaume wamekuwa wabahili ni kwamba wameerevuka hawataki ujinga..... unamuita mtu anakuja kafuatana na wenzie watatu unategemea nini .

Tena kuna wengine washenzi akifika ndio anawaita wenzie kwa simu unashangaa baada ya nusu umezungukwa meza imejaa watu hakya walahi utalipa mwenyewe....
 
Duuuh
 
Kuna Mtu kanialika dinner nawaza sijui niende na wakina Ashura. Tumchune mpaka[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ila baadhi yao wanaenda na kijiji ili baada ya kula usimng,'anganie kumgegeda
 
Ila baadhi yao wanaenda na kijiji ili baada ya kula usimng,'anganie kumgegeda
Kweli kabisa kuna wanaume ukienda peke yako lazima akugegede so ukienda na kijiji inakuwa umemzibia nafasi
 
Mi sikukimbii sababu pakukutania nachagua mwenyewe so najua ntapamudu,ila ajue kila atakaye mleta na akala vyangu naye ni halali yangu/yuko kwenye menyu
 
Mimi huwa natembea na pesa ya emergence kama naenda bar looh aibu siwez hii wanaume jaman kwann lakin mnawafanyia hivi wadada wa watu
Maana ya kuja na kijiji ni kuhakikisha hakuombi K! Yeye atoboke mfuko bila kufuma nyavu haiwezekani
 
Mimi huwa natembea na pesa ya emergence kama naenda bar looh aibu siwez hii wanaume jaman kwann lakin mnawafanyia hivi wadada wa watu
kaitwa mmoja wameenda watatu kwanini msikimbiwe
 
Ila wadada mna confidence.
Anaweza kuingia mahali na Mtu ambaye wamefahamiana kwa muda mfupi sana halafu anakula na kunywa to the maximum wakati uwezo kulipa hana iwapo atakimbiwa
Tatizo linakuwa kwa wanaume kutaka kujionyesha kuwa matawi ya juu. Agiza chochote utakacho unategemea nini. Mdada wa watu hajawahi kunywa sminof vodka ndiyo atataka kuijaribu.
 
Asante Rafik mwema
 
Una takiwa uwe na akiba yako mfukoni uta hadhilika asee, wasanii ni wengi mjini
 
Hawa jamaa bwana, unamualika mmoja anakuja na basi zima!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…