Mwanaume Baki na chako mwezi December, ni kipindi cha kuwa single Kwa wanaume

Mwanaume Baki na chako mwezi December, ni kipindi cha kuwa single Kwa wanaume

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Nawapa mbinu ya kimafya,
Hii mbinu sitarudia tena kuitoa
Ukipuuza usije unalia January

Kipindi hiki ndo washamba wanapata mademu na majukumu mapya na magumu

Kipindi hiki ndo utalipa nauli za kwenda Moshi
Kipindi hiki ndo utamnunulia viwalo
Kipindi hiki Watoto wake wapo likizo laZima uwatoe out
Kipindi hiki utanunua mahanjumati ili demu ale

Baadae January Kuna ada
Watoto kurudi shule kama umepata mishangazi umepata jukumu jipya na zito

January ndo muda wa kulipia bills na Kodi, mhuni wangu umekwisha

Mbinu ya wahuni Kipindi hiki ni kipindi cha kurudi kwenye familia na kuacha mchepuko, kuwa karibu na wife
Akivunja vikoba akaleta million 5 mbona shangwe, Kwa Sasa Kipaumbele ni wife tu, michepuko yote ni takataka

Kipindi hiki ndo Huwa tunaleta migogoro Kwa michepuko na mademu wote,
Migogoro unaisha March, ndo tunarudiana

Kwa Sasa tuko single tuna enjoy, sitaki demu
 
IMG_20241213_134740_344.JPG
 
Mimi sipo single mkuu hiki ndio kipindi kizuri cha kuimarisha mahusiano yangu yaliyokuwa yanasua sua na mitungi 🍺
 
Huu huwa ni muda ambao nikivuta kaya huwa na enjoy sana, maana muda mwingi nakuwa na masela wangu wa daraja mbili, kaloleni na unga ltd, ki hisia huwa napata kumbukumbu za Arusha ya zamani
 
Back
Top Bottom