Wanawake gani hao wanaotaka pesa ndiyo uwapate?View attachment 3396982View attachment 3396983
Mwanaume nisikilize!
Umasikini unauma zaidi ukiwa mwanaume. Familia inakutazama tofauti sana hata kama haikuambii ila we fahamu tu kuwa kuna vile wanawaza na kukutazama. Ukiwa huna pesa kuna namna fulani watu wanakunyima heshima au wanakukadiria heshima.
Ukiwa huna pesa hakuna anayejali unachosema haijalishi unasema point au jambo la maana kiasi gani. Na ukiendelea kutoa msisitizo ili point yako isikilizwe utaambiwa unapiga kelele au unaleta vurugu kwenye kikao.
Kwenye sherehe na misiba kama huna hela utawekwa kwenye kitengo cha kupasua kuni na kufunga maturubai bila kujali umri wako. Kama huna pesa watu hawaheshimu umri, watakukadiria heshima kulingana na kipato chako.
Tunaishi katika Dunia ambayo haina huruma kwa mwanaume asiye na pesa. Dunia ni sehemu katili kwa mwanaume masikini si Kanisani si hospitalini kama huna pesa wewe si lolote si chochote hata aina ya maombi utakayopewa na heshima utakayopewa ni tofauti sana.
Hata Kanisani wewe hata uwe na wanawake 6 na vimada 6 lakini una hela heshima yako italindwa, lakini kama huna pesa utatengwa. Hata Kanisa haliwapi kipaumbele wala heshima watu wasio na pesa.
Mwanaume amka kila siku ufanye kazi kwa bidii na kwa akili na maarifa — dunia ni katili sana kwa mwanaume maskini.
Hii inaweza kuwa inaumiza kuisikia lakini ndio ukweli mchungu.
Tuache upotoshajiGod stands for Gold, Oil and Diamond 💎 💍
🤣🤣🤣Wewe pia si unawaangalia tu bila kufanya chochote mana hauna KORODANI. ?
Nashangaa kwa nini anasema uongo huyu! Warembo wangapi wanaliwa bure huku mtaani?Mbona twawala bure... Nathibitisha kuwa Muandishi ni domo zege ameshindwa kutofautisha kati ya malaya na wanawake wazuri
Mbona twawala bure... Nathibitisha kuwa Muandishi ni domo zege ameshindwa kutofautisha kati ya malaya na wanawake wazuri
Wewe wasemaTuache upotoshaji
Unatembea na wanafunzi wa primary schoolWanawake gani hao wanaotaka pesa ndiyo uwapate?
Mbona mimi nazipiga free kabisa hadi inafikia mahali nazikwepa kwa kutoa visingizio vya uongo ili nipumzishe mwili.
Nipo very selective hapa mtaani nachagua mademu wabichi na wazuri ndiyo na deal nao.
Wewe kuna uwezekano mkubwa ukawa na sura isiyoeleweka kabisa ama ni mwenyeji wa kanda ile inayohonga sana wanawake kwa sababu ya inferiority complex mliyojijengea.
Jichanganye tu. Nakula mabinti wa rika tofauti tofauti kuanzia waliomaliza sekondari, waliopo vyuo vikuu, waliomaliza vyuo vikuu, mademu wa mtaani na yeyote ninayemuona anafaa kwa matumizi.Unatembea na wanafunzi wa primary school
Na utaishia kuwaita "shemeji"View attachment 3396982View attachment 3396983
Mwanaume nisikilize!
Umasikini unauma zaidi ukiwa mwanaume. Familia inakutazama tofauti sana hata kama haikuambii ila we fahamu tu kuwa kuna vile wanawaza na kukutazama. Ukiwa huna pesa kuna namna fulani watu wanakunyima heshima au wanakukadiria heshima.
Ukiwa huna pesa hakuna anayejali unachosema haijalishi unasema point au jambo la maana kiasi gani. Na ukiendelea kutoa msisitizo ili point yako isikilizwe utaambiwa unapiga kelele au unaleta vurugu kwenye kikao.
Kwenye sherehe na misiba kama huna hela utawekwa kwenye kitengo cha kupasua kuni na kufunga maturubai bila kujali umri wako. Kama huna pesa watu hawaheshimu umri, watakukadiria heshima kulingana na kipato chako.
Tunaishi katika Dunia ambayo haina huruma kwa mwanaume asiye na pesa. Dunia ni sehemu katili kwa mwanaume masikini si Kanisani si hospitalini kama huna pesa wewe si lolote si chochote hata aina ya maombi utakayopewa na heshima utakayopewa ni tofauti sana.
Hata Kanisani wewe hata uwe na wanawake 6 na vimada 6 lakini una hela heshima yako italindwa, lakini kama huna pesa utatengwa. Hata Kanisa haliwapi kipaumbele wala heshima watu wasio na pesa.
Mwanaume amka kila siku ufanye kazi kwa bidii na kwa akili na maarifa — dunia ni katili sana kwa mwanaume maskini.
Hii inaweza kuwa inaumiza kuisikia lakini ndio ukweli mchungu.
Ndiomana slogan ya "KATAA NDOA" inazidi kupata wafuasi aisee😀😀Mapenzi yamekuwa biashara
Bora ule VIZURIIII jipe raha mwenyewe mambo ya kuhonga ovyo ovyo haikubarikii.Yaaani hela yangu niache kwenda sehemu nikanunua beer nne au tano na mchemsho nikaweka na bundle kwenye simu,
Nikampe mtu kisa uzuri,
Uzuri wa mwanamke ni nn mtoa mada au unafikiri mwanamke kujiweka expensive kupitia uzuri ili adange nao ni uzuri??
Mindset yako itoe mwanamke yeyote ni mzurii kikubwa ana maumbile ya kike na umevutiwa naye huyo ni mzuri
cc Dr am 4 real PhD
Aaaah jau sana kwamba ety wanawake wazuri wapewe na wabaya wasipewe kwamba Hawa deserve au 🤔Bora ule VIZURIIII jipe raha mwenyewe mambo ya kuhonga ovyo ovyo haikubarikii.
Kikubwa ni kumwagilia moyo na kujipa Ile kitu roho inapenda life is a short trip.