Mwanaume bila Pesa, wanawake wazuri utaishia kuwaona tu kwa macho, na kamwe hutoheshimika

Mwanaume bila Pesa, wanawake wazuri utaishia kuwaona tu kwa macho, na kamwe hutoheshimika

Tunawala kiujanja ujanja tu, nyie wenye pesa mko bize sana sisi ndo wafariji wao mkiwa hampo.
 
View attachment 3396982View attachment 3396983
Mwanaume nisikilize!

Umasikini unauma zaidi ukiwa mwanaume. Familia inakutazama tofauti sana hata kama haikuambii ila we fahamu tu kuwa kuna vile wanawaza na kukutazama. Ukiwa huna pesa kuna namna fulani watu wanakunyima heshima au wanakukadiria heshima.

Ukiwa huna pesa hakuna anayejali unachosema haijalishi unasema point au jambo la maana kiasi gani. Na ukiendelea kutoa msisitizo ili point yako isikilizwe utaambiwa unapiga kelele au unaleta vurugu kwenye kikao.

Kwenye sherehe na misiba kama huna hela utawekwa kwenye kitengo cha kupasua kuni na kufunga maturubai bila kujali umri wako. Kama huna pesa watu hawaheshimu umri, watakukadiria heshima kulingana na kipato chako.

Tunaishi katika Dunia ambayo haina huruma kwa mwanaume asiye na pesa. Dunia ni sehemu katili kwa mwanaume masikini si Kanisani si hospitalini kama huna pesa wewe si lolote si chochote hata aina ya maombi utakayopewa na heshima utakayopewa ni tofauti sana.

Hata Kanisani wewe hata uwe na wanawake 6 na vimada 6 lakini una hela heshima yako italindwa, lakini kama huna pesa utatengwa. Hata Kanisa haliwapi kipaumbele wala heshima watu wasio na pesa.

Mwanaume amka kila siku ufanye kazi kwa bidii na kwa akili na maarifa — dunia ni katili sana kwa mwanaume maskini.

Hii inaweza kuwa inaumiza kuisikia lakini ndio ukweli mchungu.
Papuchin zao zina ladha mbovu sana
 
Jichanganye tu. Nakula mabinti wa rika tofauti tofauti kuanzia waliomaliza sekondari, waliopo vyuo vikuu, waliomaliza vyuo vikuu, mademu wa mtaani na yeyote ninayemuona anafaa kwa matumizi.

Wanafunzi wa primary na sekondari huwa sishughuliki nao kabisa naelewa madhara ya kumkatisha ndoto za masomo binti kama huyo.
Kwa hiyo unatongoza halafu unagonga bure wake za watu si ndio?
 
Kwahiyo sasa hivi tutafute hela kwa ajili ya wanawake kwa akili zako?
 
Sasa Hawa watoto wa 2000's walio wengi wana watoto wakidai wanatamani kupata mtoto kisa fulani ana mtoto, ukilinganisha na enzi za miaka ya nyuma ambapo mabinti wa Rika la 2000'-2005 waliona ndoa kama kitu Cha thamani na mwanaume,

siku hizi Kuna namna wanaume tumefeli kwenye kujua thamani yetu,

Na Hawa ndiyo chanzo Cha matatizo kwenye jamii kwa kuja kutuletea single Maza, bila mipangilio maalumu,

Ila watoto wa afu mbili aseeh wengi ni htree
Asee hawa tumbili wa afu mbili simbilis hawa ni kwere, kwanza wengi tayari wana watoto hapo toa mimba walizotoa walipokuwa chuo au sekondari.By now vitoto vya afu mbili vinashindana kuzaa hovyo na wengine wanazaa kila mtoto na babake.Kisha vinaendelea kugawa utamu na yas by mix getto by getto.Hivi vitoto ni laana!!!

By 2040 itakuwa ni balaa sana maana ndoa tena itakuwa sio kipaumbele kwa hao binadamu wa kipindi hicho.
 
Kwa hiyo huyo demu Ili uje umuoe si itabidi muwe kwenye uchumba kwanza?
Unachanganya mambo unapotoa hela kwa mke ni tofouti na kwa demu au hawara.

sasa wewe unauliza mambo ya uchumba tena?!
MISH MASH!
 
Yaaani hela yangu niache kwenda sehemu nikanunua beer nne au tano na mchemsho nikaweka na bundle kwenye simu,

Nikampe mtu kisa uzuri,

Uzuri wa mwanamke ni nn mtoa mada au unafikiri mwanamke kujiweka expensive kupitia uzuri ili adange nao ni uzuri??

Mindset yako itoe mwanamke yeyote ni mzurii kikubwa ana maumbile ya kike na umevutiwa naye huyo ni mzuri

cc Dr am 4 real PhD
Exactly, hii ndo point ambayo wengi hawaielewi
 
Asee hawa tumbili wa afu mbili simbilis hawa ni kwere, kwanza wengi tayari wana watoto hapo toa mimba walizotoa walipokuwa chuo au sekondari.By now vitoto vya afu mbili vinashindana kuzaa hovyo na wengine wanazaa kila mtoto na babake.Kisha vinaendelea kugawa utamu na yas by mix getto by getto.Hivi vitoto ni laana!!!

By 2040 itakuwa ni balaa sana maana ndoa tena itakuwa sio kipaumbele kwa hao binadamu wa kipindi hicho.
Aseeh maadili na ustawi wa jamii sioni kama unakua kama ilivyo miaka ya nyuma!!!!

Ni hatare sana mzee
 
Yaani hicho kiumbe below average, 3/10, ndio "mwanamke mzuri"? Kweli binadamu hatufanani aisee.
 
Back
Top Bottom