Mwanaume bila Pesa, wanawake wazuri utaishia kuwaona tu kwa macho, na kamwe hutoheshimika

Mzee kula bia nne mwambie muhudum bili kwangu.

Mtoa mada hajawahi shika hela na hatawahi zishika kwa hizi mentality zake na kama huyo mdoli wa Michellin aliomuweka hapo kwenye uzi wake ndio mwanamke anayemuona mzuri,basi huyu bwanamdogo inabidi afanyiwe REFORM.
 
Mleta uzi unapotosha jamii ikiwa mfano wa mwanamke mzuri ndio huo.
1. Kwa taarifa yako watu wasio matajiri ndio wanaongoza kuwa na wake wazuri.
2. Utajiri, pesa sio lazima ufanye kazi kwa bidii.


Nimechokoza najua mtajileta, nipo palee
 
Asante mkuu,

Kila siku nawaambia humu hakuna mwanamke wa gharama, sisi ndo tumefanya wawe wa gharama ili tuoneshe kuwa una hela za kuwa na pisi Kali,

Mwanamke yeyote natural ni mzurii, kina Nandi walikuwa moja sasa hv Yuko wapi hao ni celebrity

Mama zetu dada zetu wameolewa wakiwa wa kawaida Ila kadri siku zinaenda wananoga na hamna Cha hela wala nn,

sasa huyu anafikiri kuwa na mashangingi yaliyoungua yutiai ndo ufahari,

Mimi siwezi pea hela kizembe hivyo,

Sipo kumfurahisha mtu yeyote kabla yangu,
 
Mimi huwa na kanuni moja mwanamke ndio anatakiwa anionyeshe dalili za kunitaka never the less sinaga shobo, i dont chase what has no value compared to me, akinishobokea ndio namwangalia kwanza vipi ananivutia au laa kama ni kibwengo mikausho mikali.So huwa niko soo selective.

Huyu mtoa mada anakutana na damaged women wanamuuzia mbususu zilizokwisha chacha.

Shida nyingine hawa wavulana wanawapapatikia sana hii mianamke iliyofail maisha( busy baddies).


Ingekuwa wanaume wote tunajua thamani yetu hii midunga embe ingekuwa inatuletea mbususu kwa kupigiwa magoti kabisa.

Mwanamke hana thamani sawa na mwnaume.Mwanaume ana thamani kubwa sana mbele ya mwanamke.Shida dunia ya leo hawa maSIMP walioshika vichenchi na kuwa na UDOMO ZEGE plus UPWIRU ULIMITED wanajiendekeza sana na kuaribu mifumo.

Mfano hawa watoto wakike wa afu mbili by 2030 wote hawa hawana soko tena ila mwanaume wa afu mbili by 2030 bado yuko hot ni kujitambua na kujiheshimu tu.


#KILL THEM ALL SIMPS!!!
 
Sasa Hawa watoto wa 2000's walio wengi wana watoto wakidai wanatamani kupata mtoto kisa fulani ana mtoto, ukilinganisha na enzi za miaka ya nyuma ambapo mabinti wa Rika la 2000'-2005 waliona ndoa kama kitu Cha thamani na mwanaume,

siku hizi Kuna namna wanaume tumefeli kwenye kujua thamani yetu,

Na Hawa ndiyo chanzo Cha matatizo kwenye jamii kwa kuja kutuletea single Maza, bila mipangilio maalumu,

Ila watoto wa afu mbili aseeh wengi ni htree
 
Unawajua wanawake wazuri kweli au unawafananisha na malaya
 
Mtoa mada inaonekana wewe ni msukuma!!
Mbona sisi boda boda tunawala sana hao mademu zenu na hela wanatupa..
 
In today's world money gives you power and respect, ukiwa fukara utadharaulika na kila kiumbe.
 
Kwahiyo pesa ndo inaleta heshima na kuvutia wanawake what for?

Basi pesa haina thamani kabisa kama ni ivyo!
 
Huyu anapiga kelele na kuleta vurugu kwenye kikao , mtoeni nje la sivyo naondoka…😂😂😩
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…