ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Hadi mimi nimedhibitisha kwako sibanduki..!🤸Muambie mtoa mada asitumie kiemoji chako cha sambasoti.
Nishakuzoea. Kwangu huchomoki.
Hii emoj ina vibe muache mleta mada na yeye aenjoy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi mimi nimedhibitisha kwako sibanduki..!🤸Muambie mtoa mada asitumie kiemoji chako cha sambasoti.
Nishakuzoea. Kwangu huchomoki.
Hivi hizo D 2 huwa ni za o level au advance?
Bora malaya kuna watamu aisee ila sio yuleNgoja ushibe pure.Utamkumbuka tu.Mbona hata dhambi hukumbukwa?
Usitukane mamba kabla haujavua samaki.Bora malaya kuna watamu aisee ila sio yule
Yaan (30 to 44)/100 😫😫O level mkuu 😂
🙌Usitukane mamba kabla haujavua samaki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaan (30 to 44)/100 [emoji31][emoji31]
Nilidhani advance ambayo ni (50 to 59)/100
Nilikuwa najiuliza inamaana hawa waTz walibukuwa sana au? Kumbe ni D za o level ambazo advance ni F.
Tunawazoom tu 😂😂😂Hahaha!.
Wanataka wanaume weusi alafu wangependa kupata watoto weupe.
Hahahaha!..
Danger for D[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatariii na robooo.
Noumaaah!!Danger for D
😀😀😀😀.. umesahau kipengere cha pesa ndugu yangu.. Ukitaka mwanaume mwenye hela akikisha na wewe unazo.Chagua chagua mwanaume huku wewe ukiwa umeumbika haswaaaa
Wengi wanapenda man awe tall, kifua, black, wakati yeye ni mfupi kapigwa pasi sura kama andazi lililoingia michanga, kitambi kama afisa meneja na meno kama mbegu za Machungwa
Hiki kicheko chako ni cha uchonganishi. Usinigombanishe na AtotoNa ukitaka MWANAUME mwenye gari utampata uliko paki gari lako🤣
Chagua chagua mwanaume huku wewe ukiwa umeumbika haswaaaa
Wengi wanapenda man awe tall, kifua, black, wakati yeye ni mfupi kapigwa pasi sura kama andazi lililoingia michanga, kitambi kama afisa meneja na meno kama mbegu za Machungwa