Mwanaume Black🥰🥰🥰

Ndoa sivyo unavyowaza sio sura ya mtu ni ukomavu wa akili kujifanya fala sometimes ,kujishusha ,kuchukuliana....kuvumilia ,kupendwa mapungufu.....it's a mixture of hell n paradise
 
Inamaana hamjawai kuonyeshana shooo mpaka siku ya ndoa? Jamaa katuangusha mabaharia
 
Wanawake bhana nishaijua psychology yenu mara mwembamba mara six pack wote ni uongo huo wanawake mko kwa hisia zaidi ,kwaiyo tushawajua mnachosema sio mnachokimaanisha nyie emotional zaidi ,mtu akikuweza emotional tu kamaliza kazi acha bla bla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…