Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo basi nipo apa nimetuliaHalafu awe
✓Tall🥰
✓Mwembamba kiasi🥰
Nyiee acheniii 🤗
Sitamani jumanne ifike🤸
BTW: Kama hakutokuwa na mabadiliko ,tarehe ya ndoa ni 13 July 2024.
I can't wait for shoooo😁😁
Play song for us Mr piano man😁🎵
KARIBUNI
♥️♥️♥️
Niambie Unataka nini nitakufanyia Mamy kipenzi wewe ni Malikia.Halafu awe
✓Tall🥰
✓Mwembamba kiasi🥰
Nyiee acheniii 🤗
Sitamani jumanne ifike🤸
BTW: Kama hakutokuwa na mabadiliko ,tarehe ya ndoa ni 13 July 2024.
I can't wait for shoooo😁😁
Play song for us Mr piano man😁🎵
KARIBUNI
♥️♥️♥️
Safi sana.Ni jambo la heri mnoo kuwaza ndoa na si uzinzi.Halafu awe
✓Tall🥰
✓Mwembamba kiasi🥰
Nyiee acheniii 🤗
Sitamani jumanne ifike🤸
BTW: Kama hakutokuwa na mabadiliko ,tarehe ya ndoa ni 13 July 2024.
I can't wait for shoooo😁😁
Play song for us Mr piano man😁🎵
KARIBUNI
♥️♥️♥️
Kelsea naona kawaambukiza warembo wa jf wote sasa wanataka tdh. Sie weupe sijui tukaoe wapiHalafu awe
✓Tall🥰
✓Mwembamba kiasi🥰
Nyiee acheniii 🤗
Sitamani jumanne ifike🤸
BTW: Kama hakutokuwa na mabadiliko ,tarehe ya ndoa ni 13 July 2024.
I can't wait for shoooo😁😁
Play song for us Mr piano man😁🎵
KARIBUNI
♥️♥️♥️
Wew naye umevurugwa,ona aibu basi,una genye mshindo au?Njoo basi Inbox nikupe Mikakati tunakamilishaje Jambo letu.
Ukikutana na huyo tall mweusi ndio utajua n moto gn naozungumziaMoto gani Tena jamani?
Una furaha mwnyw 😂 hy J4 akisema amepata dharura unaweza kujinyonga ht na uzi wa nguo.🤣🤣🤣🤸🤸
Dah nimelia sanaChagua chagua mwanaume huku wewe ukiwa umeumbika haswaaaa
Wengi wanapenda man awe tall, kifua, black, wakati yeye ni mfupi kapigwa pasi sura kama andazi lililoingia michanga na kitambi kama afisa meneja
J4 mtu anaenda kupewa raha duniani 😂Ahsante kwa kulitambua hilo, hatunaga show ndogo.View attachment 3017741
Umelia kuhusu afsa meneja au mfuto kwa behind the scene?Dah nimelia sana