makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,089
- 4,086
Salamu hiyo Mkuu!Kwann mkuu
Itikia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salamu hiyo Mkuu!Kwann mkuu
Sasa mkuu huu ni mtego Gani 😂Mtego huu
Shida ipo kwenye kupokelewa sasaHata mimi ningerudi kwani shida iko wapi 😅😅😅
Aseeh hafai hata kidogo bi dadaHaya sasa blood Monetary doctor njoo ujibie hili.
Hahaha! Na mimi ndiyo namshangaa huyu Riley! Aisee! Pesa ni sabuni ya roho.Mnasemaga wazungu hawapendi pesa
Umetisha blood.Aseeh hafai hata kidogo bi dada
Kwanini asiwe faraja wakati jamaa anapitia magumu ?
Upendo upi anazungumzia wa kupenda shekeli ?
Jamaa afunge vioo
Hata wazee walinambia mkeo akikuacha kisa unapitia ugumu fulani basi akirudi asiingie kwako na ukimkaribisha imekula kwako.... Blood 👊
Amini blood 👊Umetisha blood.
Haturidishi majeshi
✊🏿👊🏾
Hahaha"Niliachana na Elon Musk baada ya yeye kuyumba sana kiuchumi lakini Kwa Sasa ninajutia kitendo changu cha kumuacha na sasa nataka kurudiana naye, sio kwa sababu ya Pesa zake nyingi Wala siyo kwa sababu amefanikiwa sana bali ninataka kurudiana nae kwa sababu ya Upendo wangu mkubwa kwake.
View attachment 3213815
Kwa Sasa ninampenda sana tena kwa upendo wa dhati kabisa." Hayo ni maneno ya TALULAH RILEY, mke wa zamani wa Elon Musk. Musk Kwa Sasa ndiye Tajiri namba moja Duniani.
Akaongezea na kusema:
"Sikumuacha Elon Musk kwa sababu nilitaka kumuacha Bali ni kwa sababu alikuwa akipitia msongo mwingingi wa mawazo. Kwasababu Nilikuwa na wasiwasi kuwa atapata mshtuko wa moyo ndiyo maana nikamuacha. Iko hivi, Kipindi hicho Yeye na kampuni yake yote waliyumba kiuchumi, ingawa nilimuwacha lakini Nilikuwa nikimuomba Mungu amuweke hai mtu huyu na apate mafanikio.
View attachment 3213817
Mwaka huo hatimaye niliamua kumwacha Mwezi Desemba wakati aliposahau kuniletea zawadi ya Krismasi, hii ilikuwa krismasi mbaya sana kwangu, kwa sababu alisahau kuniletea zawadi ya Krismasi, Kipindi hicho tulikuwa tukiishi mji wa Kalorado na usiku huo kulikuwa na theluji nyingi kila mahali.
View attachment 3213816
Na tulipokuwa kitandani na nilipoomba zawadi yangu ya Krismasi, Elon alisema: 'Siyo kwamba sikupendi, ninakupenda sana, ila kwa Sasa ni kwamba ninapitia mengi magumu sana make wangu.'
Nikamjibu kuwa najua unanipenda..basi baada ya kusema vile aliamka usiku wa manane na kuondoka na kurudi baada ya masaa 2 na alikuwa ametoka nje kwenye theluji akiwa amevaa fulana yake na kaptula bila hata viatu pekupeku kwenye theluji na akaenda kunichumia maua.
View attachment 3213818
Na aliponipa maua yale akaniambia 'Nilitaka tu kukuonesha jinsi ninavyokupenda...' Lakini binafsi mimi sikupenda maua yale tena kwa sababu mimi sikuwa mtu fulani wa aina yake wa kuvumilia umasikini hivyo nikamwacha. Najuta kumuacha hivi sasa, bado nampenda na ninapenda turudiane na anioe tena." Talulah Riley.
View attachment 3213817
Kumbuka Mke huyu wa zamani wa elon Musk, Talulah Riley alimwacha wakati akiwa sio tajiri na akihitaji msaada wake zaidi lakini akamwacha.
Je ungekuwa nafasi ya Elon Musk ungemkubali tena mwanamke wa sampuli hii au ungeendelea na mambo zako?
NaamHuyo Mask mwenyewe saivi hana muda na wanawake,yuko zake busy kupambania ndoto zake za kuhamia sayari ya mars.