ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Hilo ni li gold digger
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasema ana upendo mkubwa hahaha ila wanawake bwana, anyways niko zangu juliana huku africana na washikaji zangu tunaangalia chelsea anavyobondwa na city, mtoa post thank you for the heads up mana wanawake wanaopitapita hapa unaweza fanya lolote yani....Duh aiseee tamaa mbaya.
Ngoja wababa waje kutoa povu lao
Inawezekana ni ya kutunga kama mzee wake Daudi kumuua kamanda wake kisa kampa goli mke wa kamanda.Lakini pia stori ya Mfalme Suleiman kuanza kuwa mpagani kisa wake zake nayo ya kutunga 😃
Kweli mkuu,itakua ni za kutunga kama mabinti wa Rutu kutembea na Dingi yao baada ya kumlevya.Daah 😃
Ukiwa huna hela mwanamke anakuona tàkataka tuu.Duh aiseee tamaa mbaya.
Ngoja wababa waje kutoa povu lao
Hili tulichukue wanaume, ukiwa na mwanamke ukafirisika ukae ukijua huyo si wako tena hivyo akikukimbia uwe tayari kwani ni kawaida yao kukataa wanaume wakiwa hawana hela.Hili somo walichukue wanaume ama wanawake?
Kwenye kila stori kuna jambo la kujifunzaKweli mkuu,itakua ni za kutunga kama mabinti wa Rutu kutembea na Dingi yao baada ya kumlevya.
Demu malaya ni malaya tu,nye.ge zikipanda popote kambi,hata tango likiwa jirani hakuna rangi halitoona
Women don't self identify broke kabsaAsilimia kubwa ya wanawake ukiyumba kiuchumi kama hatokuacha, dharau atakazo kuonyesha utajuta, na kama hutomwacha kwa dharau zake ukishasimama tena atakupa heshima za kifalme Ila utakuwa ushajua una ishi na mtu wa aina gani,
Hata ndoa ya Barack Obama, kuna tetesi nayo iko hoi.Kama Jeff na dogo Bill wameshindwa kukaa na wake zao, je mimi kapuku!?
Baraka sio Rais tena unadhani kuna prestige gani anapata Bibiye!? Ameshaona hana jipya!Hata ndoa ya Barack Obama, kuna tetesi nayo iko hoi.
Rumors swirl around Barack and Michelle Obama's marriage as Michelle skips high-profile events, sparking online speculation. We break down the public's reaction, body language analysis, and whether the Obamas are facing real marital issues.
HAKUNA MWANAMKE ASIYEPENDA PESA,Mnasemaga wazungu hawapendi pesa